Simba SC Vs Coastal Union (2-0)| Simba yatwaa Ubingwa msimu wa 2020/21

Simba SC Vs Coastal Union (2-0)| Simba yatwaa Ubingwa msimu wa 2020/21

nikikiangalia hiki kikosi naona kama tumeidharau mechi, ngoja tuone
 
Hivi huyu msemaji wetu mbona ana mimeno ya njano sana? anakulaga binzari tu au?
 
13' Bocco Goooooooooooooaaal Goooooooooaaal

John Bocco anaipatia Simba SC bao la kwanza kwa Free Kick | Simba SC 1-0 Coastal Union
 
Back
Top Bottom