Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanakupa mzuka kabla ya ww hujaona hahahhahQmmk hakuna watu wanaboa ukiwa bar, kama ambao wanasikiliza redion na kuangalia live. Mama.e
Nilimuona jana akiwa na Manji pale sea cliff [emoji23]Huyu refa ajiongeze kabla hatujambutua
Kwa style hio TUTALICHUKUA MPAKA KUISHA KWA DUNIAKombe lenyewe Baya halina hata pesa nzuri
Nialike tukale kolabo ya mdondoSimba tushakua mabingwa tayari,kusherehekea ubingwa ngoja nimchukue dada wa mwana Yanga nikamtafune usiku kucha.
Hajielewi Hadi mtangazaji anasema si offside ,karibia magoli 3 ametunyimaKibendera naona anatupunguzia idadi ya magoli.
TFF wamuone baada ya game asirud tena msimu ujao.
Chukueni tu, ila sisi tutakuwa tunawafunga basi tena kila msimu tunawapiga nje ndaniKwa style hio TUTALICHUKUA MPAKA KUISHA KWA DUNIA
Refa hana shida ila huyu wa pembeni ndo anaharibumpira unachezeshwa na MAITI
Uchafu huo mkuu. Pata Cha kwako peke yakoNialike tukale kolabo ya mdondo