Simba SC Vs Coastal Union (2-0)| Simba yatwaa Ubingwa msimu wa 2020/21

Simba SC Vs Coastal Union (2-0)| Simba yatwaa Ubingwa msimu wa 2020/21

Kinachoendelea kule kwa Mkapa Stadium, ni comedy tupu. Pipa na mfuniko wanapepetana.
Hivi unafanya nini humu kwny uzi wa Mabingwa hahahahah unatesekea kutoka Dimbwi lipi Chura weye
 
💢Mechi ya kununua kama hii angekua Kagere saa hizi ana goli 4 ila huyu mtafuna jojo nafasi 10 goli 1
:
Ikiuma kausha hatuna ugomvi tunaambiana ukweli tu

😂😂😂
 
Back
Top Bottom