Simba SC Vs Coastal Union (2-0)| Simba yatwaa Ubingwa msimu wa 2020/21

Simba SC Vs Coastal Union (2-0)| Simba yatwaa Ubingwa msimu wa 2020/21

bado sijawa impressed namna simba wanavyo cheza.
game kama hii ya leo walitakiwa washinde hata bao 5 lkn wachezaji wa simba hawako serious kabisa.
poor communication btn players, poor execution,
 
Simba wanacheza kwa madharau ,huu ni ujinga
 
Kagere anapoteza nafasi mbili za wazi..!

Wakati wake ilikuwa lazima aingie Kambani
 
Rasmi Simba bingwa, haya utopolo kazi kwenu
 
90+2' Kuelekea kumalizika kwa mchezo wa VPL

Naaaam mpira umekwishaaa ambapo Simba SC wameibuka na ushindi wa mabao mawili kwa bila dhidi ya Coastal Union na kuutwaa Ubingwa wa VPL.

FT, VPL; Simba SC 2-0 Coastal Union.

.... Ghazwat
 
Back
Top Bottom