Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umempa msumari wa moto.Mbona mashabiki hawajawabeba yanga.mpaka mmefukuza kocha?
Si mtu wa mpira huyo kipi hpo alichoshindwa kuelewaWashabiki ni mchezaji wa 12
tumewaona juzi mlipoichukulia poa prison mkasaau kuingia na paka uwanjani motokeo yake ilibidi refa awasaidie mpate japo pointi mojaSimba ameshinda Nigeria bila Mashabiki,
Simba ameshinda Kinshasa bila Mashabiki
Simba amechukua point Sudan bila Mashabiki
Ulichokiandika hapo inaonekana wewe ni BRAINWASHED.
Hata wangesema tucheze usiku bila kuwasha taa kwa Mkapa hatoki mtu.
Sawa mama mvaa vjora na madela km hutak KUNYA BOGAsimba 1 - merreikh 1
Mdomo wako km m.kunduuuHapa sasa mbumbumbu FC wataanza rasmi kudrop point kwa Mkapa. Na kwa mwendo huu Mereikkh wenyewe wanakuja kuwakalisha ama sare!
Sio CUF na weweCUF wamestuka late, haikuwa sawa mechi zingine na mashabiki zingine bila mashabiki. Hii olikuwa inawabeba sana Simba
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan Yanga haiijui hio prison?Hao El Mereikh wangekuwa na akili wangewatafuta Prisons haraka sana ili wawape mbinu za kumchinja mnyama kwa urahisi zaidi.
CAFCUF wamestuka late, haikuwa sawa mechi zingine na mashabiki zingine bila mashabiki. Hii olikuwa inawabeba sana Simba
Sent using Jamii Forums mobile app
Alishindwa kwake kutukalisha kwanini uone kuwa hapa ataweza??,tumempiga vita Kwake bila mashabiki kwanini tushindwe kumpiga Merrikh hapa Nyumbani bila mashabiki?anyway wewe ni Utopolo?Kama ni Utopolo uko sawa kuwa na akili hizi za kukata tamaa, Simba hatuna akili za kukata tamaa za hiviHapa sasa mbumbumbu FC wataanza rasmi kudrop point kwa Mkapa. Na kwa mwendo huu Mereikkh wenyewe wanakuja kuwakalisha ama sare!
Safari hii Yanga tunatafuta pa kushika.kila.tawi lina katika....tumebaki kama wangaHapa sasa mbumbumbu FC wataanza rasmi kudrop point kwa Mkapa. Na kwa mwendo huu Mereikkh wenyewe wanakuja kuwakalisha ama sare!
How? Wakati they won against Al Ahly au bado unaota? Kwani huwa wanacheza mashabiki au wachezaji? Tuache umaandazi. Kijana ukiwa mnafiki uzeeni unakuwa mchawi. Tujenge Yanga yetu na si kuwa wanafiq na wachawi.
TV huwa zinachelewa kurusha matangazo. Unajuta uwanjani goli limeingia sekunde 4 zilizopita ndiyo mnarushiwa,itabidi Simba waweke tv kubwa pale uwanja wa uhuru washabiki waje pale, zile kelele zitafika kwa Mkapa.