Simba SC vs El Merreikh kuchezwa bila mashabiki

Simba SC vs El Merreikh kuchezwa bila mashabiki

CAF wana akili sana! Usikute walishapata taarifa za Kiintelijensia ya kwamba mashabiki wamejipanga kuingia na MAPAKA 😾😾 ya kutosha tu uwanjani ili kuwatishia hao El Mereikh!!
 
Hii game Simba tutashinda Kama kawaida...hizi ni kelele tu hasa kwa watoto wasiolijua soka la Africa..
 
Simba ameshinda Nigeria bila Mashabiki,
Simba ameshinda Kinshasa bila Mashabiki
Simba amechukua point Sudan bila Mashabiki

Ulichokiandika hapo inaonekana wewe ni BRAINWASHED.

Hata wangesema tucheze usiku bila kuwasha taa kwa Mkapa hatoki mtu.
tumewaona juzi mlipoichukulia poa prison mkasaau kuingia na paka uwanjani motokeo yake ilibidi refa awasaidie mpate japo pointi moja
Nyie mikia Hakuna timu hapo mlikua mnatembelea upepo wa corona tu
 
Uko off! Hyo ni official statement ya CAF iiliyotolewa kwa match zote ambazo zinasimamiwa na CAF.
Timu za Sudan pia ziliomba awali kuruhusu masuabiki na waliruhusiwa kuingiza watu 5,000 kuanzia match za mzunguko wa pili. Fuatilia kama wataingia tena uwanjani hao mashabiki.
 
Hapa sasa mbumbumbu FC wataanza rasmi kudrop point kwa Mkapa. Na kwa mwendo huu Mereikkh wenyewe wanakuja kuwakalisha ama sare!
Alishindwa kwake kutukalisha kwanini uone kuwa hapa ataweza??,tumempiga vita Kwake bila mashabiki kwanini tushindwe kumpiga Merrikh hapa Nyumbani bila mashabiki?anyway wewe ni Utopolo?Kama ni Utopolo uko sawa kuwa na akili hizi za kukata tamaa, Simba hatuna akili za kukata tamaa za hivi
 
Back
Top Bottom