Simba SC vs El Merreikh kuchezwa bila mashabiki

How? Wakati they won against Al Ahly au bado unaota? Kwani huwa wanacheza mashabiki au wachezaji? Tuache umaandazi. Kijana ukiwa mnafiki uzeeni unakuwa mchawi. Tujenge Yanga yetu na si kuwa wanafiq na wachawi.
Kweli we Chizi, kuna sehemu nimeandika hapa Wanacheza na Al Ahly? .Thread inasema wanacheza na Al -Merrikh wewe unaleta mambo ya Ahly..

Yanga itajengwa na wanaYanga sio wanasimba (japo sijajua uYanga umetokea wapi hapa)

Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
 
Aidha mfuate masharti ya wakubwa au mjitoe.
 
Mechi zote za caf zitachezwa bila mashabiki kufata fair play rule... maana sio haki mmoja acheze kwake bila mashabiki kumshangilia.. ila mwingine ashangiliwe na mashabiki wake...

Caf imeamua kuweka usawa kote

TV huwa zinachelewa kurusha matangazo. Unajuta uwanjani goli limeingia sekunde 4 zilizopita ndiyo mnarushiwa,
Ni afadhali kuliko kukosa kabisa!
 
Ubishi wa mishabiki kukaa kwa lurundikana kama ndizi uwanjani ndio faida yake hii kupigwa ban mashabiki. Hii ilionekana mapema maana watu walikua wanaingia wachache ila wanakusanyana sehemu moja.
 
Mbona umepanic sana? Kama mtoto aliyebemendwa huwa anaona anaonewa tu hata swali la kawaida anapanic sana. Just relax na endelea kujifukiza pia kwa hali yako uwe u alamba na limao. Litakusaidia kuondoa kichefuchefu
 
Pole sana mdogo wangu, unateseka sana kwa kudhani nimepaniki [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
 
Mechi zote za caf zitachezwa bila mashabiki kufata fair play rule... maana sio haki mmoja acheze kwake bila mashabiki kumshangilia.. ila mwingine ashangiliwe na mashabiki wake...

Caf imeamua kuweka usawa kote
Baada ya Mwarabu kuuawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…