Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Pole vumilia tu...ndo changamoto zenyewe hiyo. Kwa hiyo umekubali we nyani/mbwa na sasa unasema mkia wako unatapatapa. Lamba limao please. Huwa unajisikia kichefu ukisikia harufu gani? 🙉[emoji263][emoji263][emoji263][emoji706][emoji706][emoji706]Mkia Fc unatapa tapa sana
Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji724][emoji724][emoji724][emoji724]Pole vumilia tu...ndo changamoto zenyewe hiyo. Kwa hiyo umekubali we nyani/mbwa na sasa unasema mkia wako unatapatapa. Lamba limao please. Huwa unajisikia kichefu ukisikia harufu gani? [emoji86]
Ndimu nayo inasaidia kwa wengine[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji724][emoji724][emoji724][emoji724]
Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
Chanzo ni nini kuamuliwa kuchezwa bila mashabiki pasipo kujali nchi yoyote ile.Nani amekwambia wamezuia sababu ya corona?
MsibaChanzo ni nini kuamuliwa kuchezwa bila mashabiki pasipo kujali nchi yoyote ile.
Duh...Msiba
[emoji192]haruhusiwi?Kwa hiyo mchezaji wa 12 hatakuwepo!!
Bila kusahau yule mnyama wetu pendwa wa kufugwa ndani yuleKwa hiyo mchezaji wa 12 hatakuwepo!!
Maviyako endelea kusubiri meli airportHapa sasa mbumbumbu FC wataanza rasmi kudrop point kwa Mkapa. Na kwa mwendo huu Mereikkh wenyewe wanakuja kuwakalisha ama sare!
Unapocheza home bila washabiki wako mgeni anakuwa bora kisaikolojia kuliko wewe!Alishindwa kwake kutukalisha kwanini uone kuwa hapa ataweza??,tumempiga vita Kwake bila mashabiki kwanini tushindwe kumpiga Merrikh hapa Nyumbani bila mashabiki?anyway wewe ni Utopolo?Kama ni Utopolo uko sawa kuwa na akili hizi za kukata tamaa, Simba hatuna akili za kukata tamaa za hivi
Mbona tunaongoza ligi!? Labda unaongelea ya Yanga ya mtaani kwako!Safari hii Yanga tunatafuta pa kushika.kila.tawi lina katika....tumebaki kama wanga
CUF ya Prof lipumba hii bila shakaCUF wamestuka late, haikuwa sawa mechi zingine na mashabiki zingine bila mashabiki. Hii olikuwa inawabeba sana Simba
Sent using Jamii Forums mobile app
Mechi zote za caf zitachezwa bila mashabiki kufata fair play rule... maana sio haki mmoja acheze kwake bila mashabiki kumshangilia.. ila mwingine ashangiliwe na mashabiki wake...
Caf imeamua kuweka usawa kote
Msome vizuri na kufanya tafakuri ,utamuelewaKasema, BILA MASHABIKI... SIYO BILA WACHEZAJI
Lugha ya kimchezo, mchezaji wa 12 maaana yake ni ShabikiKasema, BILA MASHABIKI... SIYO BILA WACHEZAJI
nikweli,hii kitu haikukaa sawa hii.Mechi zote za caf zitachezwa bila mashabiki kufata fair play rule... maana sio haki mmoja acheze kwake bila mashabiki kumshangilia.. ila mwingine ashangiliwe na mashabiki wake...
Caf imeamua kuweka usawa kote
CUF wamestuka late, haikuwa sawa mechi zingine na mashabiki zingine bila mashabiki. Hii olikuwa inawabeba sana Simba
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii Dunia ina vioja kweli..Aiseeeee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣CUF wamestuka late, haikuwa sawa mechi zingine na mashabiki zingine bila mashabiki. Hii olikuwa inawabeba sana Simba
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeamkaje leo? Bado unajisikia kichefu chefu na miguu kuvimba?Lugha ya kimchezo, mchezaji wa 12 maaana yake ni Shabiki
Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
Hawa watu inabidi ujipe muda mwingi sana ktk kuwaelewesha,ukienda haraka haraka huwa hawaelewi.Lugha ya kimchezo, mchezaji wa 12 maaana yake ni Shabiki
Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app