Simba SC vs El Merreikh kuchezwa bila mashabiki

Simba SC vs El Merreikh kuchezwa bila mashabiki

Pole vumilia tu...ndo changamoto zenyewe hiyo. Kwa hiyo umekubali we nyani/mbwa na sasa unasema mkia wako unatapatapa. Lamba limao please. Huwa unajisikia kichefu ukisikia harufu gani? [emoji86]
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji724][emoji724][emoji724][emoji724]

Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
 
Alishindwa kwake kutukalisha kwanini uone kuwa hapa ataweza??,tumempiga vita Kwake bila mashabiki kwanini tushindwe kumpiga Merrikh hapa Nyumbani bila mashabiki?anyway wewe ni Utopolo?Kama ni Utopolo uko sawa kuwa na akili hizi za kukata tamaa, Simba hatuna akili za kukata tamaa za hivi
Unapocheza home bila washabiki wako mgeni anakuwa bora kisaikolojia kuliko wewe!
 
Mechi zote za caf zitachezwa bila mashabiki kufata fair play rule... maana sio haki mmoja acheze kwake bila mashabiki kumshangilia.. ila mwingine ashangiliwe na mashabiki wake...

Caf imeamua kuweka usawa kote

wamechelewa sana tayari wengine wameshapata advantages kwa wenzao.

Wa Africa siku zuto ni wapuuzi tu, hivi hili walishindwaje kuliamua kabla ya makundi hayajaanza kuchezwa wanakuja kuamua yashafika kati? CAF ni ovyo kabisa
 
Mechi zote za caf zitachezwa bila mashabiki kufata fair play rule... maana sio haki mmoja acheze kwake bila mashabiki kumshangilia.. ila mwingine ashangiliwe na mashabiki wake...

Caf imeamua kuweka usawa kote
nikweli,hii kitu haikukaa sawa hii.
 
Back
Top Bottom