Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ewaaaaaa. 👏👏itabidi Simba waweke tv kubwa pale uwanja wa uhuru washabiki waje pale, zile kelele zitafika kwa Mkapa.
Nafikiri hasa wamezingatia hili.Mechi zote za caf zitachezwa bila mashabiki kufata fair play rule... maana sio haki mmoja acheze kwake bila mashabiki kumshangilia.. ila mwingine ashangiliwe na mashabiki wake...
Caf imeamua kuweka usawa kote
Utaishia kucheza ndondo tu wakati tunam point Azam km mwakilishi mwenza wa klabu bingwaHapa sasa mbumbumbu FC wataanza rasmi kudrop point kwa Mkapa. Na kwa mwendo huu Mereikkh wenyewe wanakuja kuwakalisha ama sare!
sio wawatafute coastal au polisi zile mechi zinachezeshwa na waamuzi wa kimataifa sio hawa waamuzi wenu wa ndondoHao El Mereikh wangekuwa na akili wangewatafuta Prisons haraka sana ili wawape mbinu za kumchinja mnyama kwa urahisi zaidi.
Nani amekwambia wamezuia sababu ya corona?
Simba ameshinda Nigeria bila Mashabiki,Mlizoea kutembelea upepo wa corona,
Sasa mjiandae kisaikolojia kwani hata robo fainali hamtoboi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona mashabiki hawajawabeba yanga.mpaka mmefukuza kocha?
Jaribu kujiongeza mkuu,sababu ni hiyo. Lazima Caf wamepewa maelekezo ya mwenendo wa hali hapa mbochi
Hii Sasa shida,Kwa hiyo mchezaji wa 12 hatakuwepo!!
sasa kama ni hivyo CAF ingeshirikisha maoni ya wadau wapewe utaratibu uliozoeleka hukuMechi zote za caf zitachezwa bila mashabiki kufata fair play rule... maana sio haki mmoja acheze kwake bila mashabiki kumshangilia.. ila mwingine ashangiliwe na mashabiki wake...
Caf imeamua kuweka usawa kote
Na sub ni namba ngapi!?Washabiki ni mchezaji wa 12