....bado ni mapema mno mkuu, ila jamaa si wakubeza.Simba wanazidiwa aiseee
Vichwa vya habari vya magezeti
*simba yachanwachanwa na libolo
*simba yapigwa libolo
*libolo came from behind to beat simba
*simba hoi kwa libolo
*simba yaimeza libolo
*simba yaila libolo
*simba yaitafuna libolo