Simba SC vs Mbao SC

Simba SC vs Mbao SC

Vyura kwa roho mbaya na wivu bado mtadai Simba hawajafaidi chochote kwa kuchukua mshindi wa tatu.
 
Hongereni Simba tujiandae kuwakabili Waarabu huko kwa Mafarao.
 
Hiv mbao na umasikini wao wanakomaa hv cku wakipata mfadhili kama Mo sindo watachukua ndoo ya africa kabisa awa watoto?
 
Back
Top Bottom