mkuu habari unayo
Minyero fc fcKila lakheri Ruvu shooting piga mbumbumbu hao
Naam ngoja mnyama afanye yake sasaNaaam kipindi cha pili kimeanza Uwanja wa Taifa
Simba SC 1-1 Ruvu Shooting
Bila mbeleko hamna timu hapoMpaka sasa ruvu wapo vizuri zaidi ya hawa pimbi sema bahati haiko upande wao
πππHii midfield ya simba wanavyocheza kama wametoka kugongwa.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
ππndio muda wake huuDk za tigo pesa zishataradadi
Bado 1-1Update
Update
Kuna kila dalili wakapapaswaHali ya mikia inaendeleaje?