samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,233
Dakika 6 hata mpira haujasimama yaani simba bana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Za muamala. Mhindi keshafanya yakeKweli simba kwa muamala hatuwawezi. Dakika sita zote za nini?
Dakika 6 hata mpira haujasimama yaani simba bana
mbumbumbu fc ngapi ngapiDeportivo la utopolo wanafurahia sana haya matokeo
90+6' Mpira umekwishaa timu zote mbili zimetoka kwa kufungana bao moja kwa moja
Simba SC ndo walikuwa wa kwanza kuandika bao kupitia kwa Shiza Kichuya 12' huku Ruvu wakisawazisha kupitia kwa Fully Maganga 36'
FT; Simba SC 1-1 Ruvu Shooting
Mleta Uzi kakimbia Uzi wake
Mshika kibendera Mkwinda Mohamed anafanya kazi nzuri
Haji kawaaminisha watashinda mechi zote zilizobaki. Point mbili hizo zimeoponyoka.Mleta Uzi kakimbia Uzi wake
Kusema ukweli mechi ya Leo nyota Aishi Manula ameokoa zaidi clear goals 4. Ila Ruvu Shooting wamecheza vizuri sana 2nd half.Mshika kibendera Mkwinda Mohamed anafanya kazi nzuri
Umeyaona matokeo ya wachezaji wako.niambie umeshiriki mazoezi ya Simba lini?sema ukweli wako