Simba Sc Vs Ruvu Shooting,Uwanja wa Taifa

Simba Sc Vs Ruvu Shooting,Uwanja wa Taifa

90+6'

Naaaaam...Mpira umekwishaa timu zote mbili zimetoka kwa kufungana bao moja kwa moja

Simba SC ndo walikuwa wa kwanza kuandika bao kupitia kwa Shiza Kichuya 12' huku Ruvu wakisawazisha kupitia kwa Fully Maganga 36'

FT; Simba SC 1-1 Ruvu Shooting
Afadhali, wana kelele sana.
 
Timu imejaa wazee Wawa,Nyoni
Mpaka muda huu bado najiuliza zile dakika 6 za nyongeza ziliongezwa kwa lengo gani??? Kwa sababu hata kama zingeongezwa dakika 200 Simba tusingeshinda sana sana tunge papaswa tu.
Hahahahaaa. Unatafuta kupopolewa hapa Mtani.

Mana ukiangalia sauti ya ng'ombe (Mooo) kasema haachi mchezaji. 🤣🤣🤣
 
Na kama hatutatoa Muamala wa M pesa kwa marefa mapema Simba hatuchomoki kwa Azam fc.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua kuna muda nacheka sana kwa baadhi ya hawa mashabiki ambao hawaeleweki, uliyemquote ni group moja la WhatsApp.

Kuna muda anasema hili na kuna muda anasema lile, tunawaambia siku zote mpira huwezi kushinda kila siku hiyo haipo hapa duniani, hata kama una kikosi kizuri

La msingi ujipange kwa game inayokuja tu
 
Timu imejaa wazee Wawa,Nyoni
Mpaka muda huu bado najiuliza zile dakika 6 za nyongeza ziliongezwa kwa lengo gani??? Kwa sababu hata kama zingeongezwa dakika 200 Simba tusingeshinda sana sana tunge papaswa tu.
Bora umekuwa mkweli aisee kiukweli timu yetu inatakiwa ifanyiwe maboresho makubwa Sana kule nyuma tupo kweupe Sana.
 
Mimi huku niliko nimeshatema mate chini...Kama siyo kuhonga marefarii na wachezaji wa timu pinzani saa hizi Mikia wangekuwa pungufu karibu pointi 18 ya walizonazo sasa
Aaaah wapi, nyie Utopolo hamjiwezi licha ya Simba SC hata Azam FC hamtawafikia..!
 
Nasikia hivi ndio namna Masau Bwire aliingia Taifa. 🤣🤣
20200614_201418.jpg
 
Back
Top Bottom