Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamepapaswa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo roho yako burudaaani mwenyewe.. haya tufanye nyie ndio mnaongoza ligi!๐ค๐๐๐ yaani kadri uzi ulivyosonga M b u m b u m b u post zao sinapungua nguvu.
๐๐๐
Imeisha hiyoooo๐๐๐๐๐ yaani kadri uzi ulivyosonga M b u m b u m b u post zao sinapungua nguvu ya kutamba.
๐๐๐
Hutamuona tena hapaUmeyaona matokeo ya wachezaji wako.
Jana kajitia mashuzi ya kuanzisha uzi wa Yanga na mwadui,leo limemtokea puani.Mleta Uzi kakimbia Uzi wake
Nilimwambia li kikosi alopanga kocha ni utopolo mtupu akanibezaHutamuona tena hapa
Mtani wetu anawahi sana kuanzisha uzi mechi za Yanga.Jana kajitia mashuzi ya kuanzisha uzi wa Yanga na mwadui,leo limemtokea puani.
๐๐ Kweli mkuuKama ligi yetu ingekuwa inachezeshwa bila uhuni uhuni bila ya ujanja ujanja Simba point zetu halali zingekuwa 56 tu.
Spot on!Kama ligi yetu ingekuwa inachezeshwa bila uhuni uhuni bila ya ujanja ujanja Simba point zetu halali zingekuwa 56 tu.
Ha ha ha ..Yaani mpira una maajabu sana..Hapo nani ambaye Mkunungu kati ya anayecheza Insta ana alama 72 kibindoni na yule anacheza Facebook hata nafasi ya pili anahangaika kuipata.Punguzeni Ngenga mpira hauchezwi Insta. [emoji2089][emoji2089][emoji2089]