Simba Sc Vs Ruvu Shooting,Uwanja wa Taifa

Simba Sc Vs Ruvu Shooting,Uwanja wa Taifa

Naaam kipindi cha pili kimeanza Uwanja wa Taifa

Simba SC 1-1 Ruvu Shooting
 
Kagereeeee oooooh laaaaa, golikipa Makaka anatokea na kudaka lile shutii la Kagere

Ilikuwa nafasi murua kwa Simba kuandika bao la pili

Simba SC 1-1 Ruvu Shooting
 
Luis Miquissone hatari sana, anaonyesha thamani yake.
 
60' ametoka Kichuya na ameingia Fransis Kahata upande wa Simba SC
 
Back
Top Bottom