Yanga ana kikosi kamili Zanzibar? Kama kweli mnajiamini mpasuane na vikosi vyenu hivyohivyo tuone.Yanga watachezesha kikosi kamili na bado watapigwa tu[emoji3061]
Mmeanza kutesekaYanga watachezesha kikosi kamili na bado watapigwa tu🥴
Yanga watachezesha kikosi kamili na bado watapigwa tu[emoji3061]
Majina ya wachezaji yaliyowasilishwa na timu zote mbili katika mashindano ya Mapinduzi ndio hao hao watakaotumika, hakuna uwezekano wa kuongeza mchezaji nje na majina yaliyowasilishwa. Hivyo walioenda Zanzibar ndio hao hao watakaokuwa sehemu ya vikosi vya timu zote mbili.Je wachezaji gani hawatakwepo kwa kila timu ?
Chama ,Bocco ,Miquison ,Demla watakwepo ?
Kwa yanga Je watakwepo Lamine Moro ,Fay toto ,Yassin na Saido ?
Saa ngapi mechi?Naona leo mnyama anenda kupakuliwa biliani lake.
Kutoka nanganga, huuko kabisa kusiko toka jua, nawatakia wananchi ushindi wa kishindo.
Unateseka ukiwa wapi wewe utopoloAcha kulia lia nyau bro!
Huijui vizuri Bongo wewe.Majina ya wachezaji yaliyowasilishwa na timu zote mbili katika macshindano ya Mapinduzi ndio hao hao watakaotumika, hakuna uwezekano wa kuongeza mchezaji nje na majina yaliyowasilishwa. Hivyo walioenda Zanzibar ndio hao hao watakaokuwa sehemu ya vikosi vya timu zote mbili
Nimemsikiliza lakini anasema kwa sheria yasizidi majina ya wachezaji 30, kama timu haikupeleka baadhi ya majina haiwezi kupekeka tena, lakini ukiwaza wachezaji 30 ni timu nzima tutajuaje kama majina yamepelekwa ila hakucheza mechi zilizopita na leo ndio wanacheza?Majina ya wachezaji yaliyowasilishwa na timu zote mbili katika macshindano ya Mapinduzi ndio hao hao watakaotumika, hakuna uwezekano wa kuongeza mchezaji nje na majina yaliyowasilishwa. Hivyo walioenda Zanzibar ndio hao hao watakaokuwa sehemu ya vikosi vya timu zote mbili.