Simba SC vs Yanga SC, Mapinduzi Cup final leo. Simba kuondoka na kikombe

Simba SC vs Yanga SC, Mapinduzi Cup final leo. Simba kuondoka na kikombe

Harrykany

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2019
Posts
619
Reaction score
668
Wakuu leo ni siku nzuri sana, kwa mashabiki na watani wa jadi wa mpira wa miguu. Mimi ni mshabiki na mpenzi wa mnyama Simba SC.

Utabiri wangu leo ni Simba kuondoka na kikombe kutokana na timu yangu kuwa na mwendelezo mzuri wa dozi.

Na leo pia tunaenda kuwauwa Yanga.

Vipi maoni yako, Wewe kuhusu game ya Leo?
 
Je, wachezaji gani hawatakwepo kwa kila timu?

Chama, Bocco, Miquison, Demla watakwepo?

Kwa yanga Je watakwepo Lamine Moro, Fay toto, Yassin na Saido?
 
Naona leo mnyama anenda kupakuliwa biliani lake.
Kutoka nanganga, huuko kabisa kusiko toka jua, nawatakia wananchi ushindi wa kishindo.

Kwa kikosi gani? Mkuu hadi ushindi wa kishindo
 
Je wachezaji gani hawatakwepo kwa kila timu ?

Chama ,Bocco ,Miquison ,Demla watakwepo ?


Kwa yanga Je watakwepo Lamine Moro ,Fay toto ,Yassin na Saido ?
Majina ya wachezaji yaliyowasilishwa na timu zote mbili katika mashindano ya Mapinduzi ndio hao hao watakaotumika, hakuna uwezekano wa kuongeza mchezaji nje na majina yaliyowasilishwa. Hivyo walioenda Zanzibar ndio hao hao watakaokuwa sehemu ya vikosi vya timu zote mbili.
 
Majina ya wachezaji yaliyowasilishwa na timu zote mbili katika macshindano ya Mapinduzi ndio hao hao watakaotumika, hakuna uwezekano wa kuongeza mchezaji nje na majina yaliyowasilishwa. Hivyo walioenda Zanzibar ndio hao hao watakaokuwa sehemu ya vikosi vya timu zote mbili
Huijui vizuri Bongo wewe.
 
Majina ya wachezaji yaliyowasilishwa na timu zote mbili katika macshindano ya Mapinduzi ndio hao hao watakaotumika, hakuna uwezekano wa kuongeza mchezaji nje na majina yaliyowasilishwa. Hivyo walioenda Zanzibar ndio hao hao watakaokuwa sehemu ya vikosi vya timu zote mbili.
Nimemsikiliza lakini anasema kwa sheria yasizidi majina ya wachezaji 30, kama timu haikupeleka baadhi ya majina haiwezi kupekeka tena, lakini ukiwaza wachezaji 30 ni timu nzima tutajuaje kama majina yamepelekwa ila hakucheza mechi zilizopita na leo ndio wanacheza?
 
Back
Top Bottom