Simba SC vs Yanga SC, Mapinduzi Cup final leo. Simba kuondoka na kikombe

Leo tunawapiga Mikia fc
 
Mnajifanya mnakikosi kipana,kumbe waoga na hamjiamini.Tatizo lenu mnaenda uwanjani na maneno ya Manara atawaua.
 

Attachments

  • Screenshot_20210113-220424.png
    182 KB · Views: 2
hivi hawa wachezaji hua hawafundishwi somo la ku control mpira? Aren't these dudes professional footballers?
Ngoja tu nisubiri Arsenal yangu kesho
 
Kukaa porini Ni shida nipo sehemu Radio inayoshika huku Ni Fm ya hii Wilaya....Sasa huyo mtangazaji anavotangaza looo! Unaweza vunia Radio
Sema vunja

Hiyo vunia ndo nini


Simba leo hawaamini mpk togwa na mbege zinawakengeza
 
Kipa wa Yanga alistahili kwenda kukaa jukwwaani kabisa kwakua alikua Hana kazi yoyote Ila Beno aliweza kufanya kazi mzuri dhidi ya Saprong wa Yanga.
 
Time hiii ya pleshaa kinoma😆😆😆😆
 
Kwa kikosi cha Simba leo kama Yanga wameshindwa kuwafunga basi Yanga ni wazembe aisee.
 
Onyango ni Nyokooo. Ntibazokiza upara mpaka unafuka moshi
Unamsifia Onyango umemsahau TK master alivyowafanya beki zako. Ingekuwa Sarpong ni mchezaji basi gemu ingeisha ndani ya dakika 90 na Simba kufunga zaidi ya goli moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…