Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Leo tunawapiga Mikia fcWakuu leo ni siku nzuri sana, kwa mashabiki, na watani, wa jadi, wa mpira wa miguu, me ni mshabiki, na mpenzi, wa mnyama Simba SC.
Utabili wangu leo, ni Simba kuondoka na kikombe kutokana na timu yangu kuwa na mwendelezo mzuri wa dozi.
Na leo pia tunaenda kuwauwa Yanga.
Vipi maoni yako, Wewe kuhusu game ya Leo?