Simba SC vs Yanga SC, Mapinduzi Cup final leo. Simba kuondoka na kikombe

Simba SC vs Yanga SC, Mapinduzi Cup final leo. Simba kuondoka na kikombe

Hilo ndio mlilobakiwa nalo,kwa hiyo leo SIMBA MNAKUBALI MNA TIMU B.?

Kwa hiyo hamna kikosi kipana ?

Target yenu nusu fainali au robo sahau na hivi viporo mnavyo vitengeneza hivi mnazidi kujichosha,sioni mkiingia robo.Sisi msimu tuna mkimbiza mwizi kimya kimya.

Hatuna kelele mara tunachukua treble,mara tutamfunga yoyote tutakaye kutana nae,ukitusikia ujue tushanyanyua ndoo.
Unakimbiza mwizi kimyakimya wakati we mwenyewe mwizi?

Hapo ulipo sio pako pana mwenyewe uko hapo kwa muda tu usijisahau

Simba ina kikosi kipana na hicho kinatumiwa kwa mahesabu kulingana na uthamani wa ligi.

Hivi unafikiri kingewekwa kile kikosi kilichotoa kipigo cha 4-1 we unafikiri ingekuwaje?

Viporo gani? Focus ya simba sio ligi kuu maana hilo hakuna wa kumuepusha mnyama na ubingwa.
 
Unakimbiza mwizi kimyakimya wakati we mwenyewe mwizi?

Hapo ulipo sio pako pana mwenyewe uko hapo kwa muda tu usijisahau

Simba ina kikosi kipana na hicho kinatumiwa kwa mahesabu kulingana na uthamani wa ligi.

Hivi unafikiri kingewekwa kile kikosi kilichotoa kipigo cha 4-1 we unafikiri inheluwaje?

Viporo gani? Focus ya simba sio ligi kuu maana hilo hakuna wa kumuepusha mnyama na ubingwa.
Kweli mna kikosi kipana,watu wanazidi kukipanua.

Sawa umenipiga 4,wewe msimu ulipita ktk ligi nilichukua point 4 na yanga Yangu mbovu.

Kama kawaida yenu Manara anawajaza ujinga,kuwa ubingwa wenu endeleni kupiga kelele sisi mwizi tunamkimbiza kimya kimya.Sababu hata msimu huu aliwaambia mtachukua Treble,la kwanza lisha ondoka.

Yaani wewe AS Vital wale hutoki,mechi ijayo unacheza na Al Ahly (mabingwa wa Caf 2020/21) hiyo hutoki umejitahidi umepata point moja.
 
Hilo ndio mlilobakiwa nalo,kwa hiyo leo SIMBA MNAKUBALI MNA TIMU B.?

Kwa hiyo hamna kikosi kipana ?

Target yenu nusu fainali au robo sahau na hivi viporo mnavyo vitengeneza hivi mnazidi kujichosha,sioni mkiingia robo,una viporo vya Azam na Namungo alafu tarehe 13 Feb unawafuata walikupiga AS Vital walio kupiga tano.

Sisi msimu tuna mkimbiza mwizi kimya kimya.Hatuna kelele mara tunachukua treble,mara tutamfunga yoyote tutakaye kutana nae,ukitusikia ujue tushanyanyua ndoo.
Hawa wanadhihilisha umbumbumbu wao
 
Kweli mna kikosi kipana,watu wanazidi kukipanua.

Sawa umenipiga 4,wewe msimu ulipita ktk ligi nilichukua point 4 na yanga Yangu mbovu.

Kama kawaida yenu Manara anawajaza ujinga,kwa ubingwa wenu endeleni kupiga kelele sisi mwizi tunamkimbiza kimya kimya.Sababu hata msimu huu aliwaambia mtachukua Treble,la kwanza lisha ondoka.

Yaani wewe AS Vital wale hutoki,mechi ijayo unacheza na Al Ahly (mabingwa wa Caf 2020/21),we hutoki umejitahidi umepata point moja.
Eti la kwanza limeondoka [emoji23][emoji23]
Wanaposema Treble unafikiri Mapinduzi Cup inahusishwa. Kwa Tanzania Treble ni
1. VPL
2. FA
3. COMMUNITY SHIELD.
Ambapo tayari CS Simba ameisha chukua.

But True Treble inatakiwa
1. VPL
2. FA
3. CAF CL
 
Kwa mujibu wa Manara treble
1.VPl.
2.FA.
3.Mapinduzi

Kwa hiyo mpaka ngao tunaihesabia leo. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kaka ligi haijaisha na Azam Confederation bado haijaisha,tupo hapa mwisho wa siku tutapigiana mahesabu,nani ana hesabu NAZI na nani anahesabu MAKUTI.
 
Yanga leo walikua full ngwamba wakicheza na Simba B kwenye final ya Mapinduzi Cup.
Teh..Unakijua kikosi cha kwanza cha Yanga wewe?...Sasa kama Feisal, Mwamnyeto, Lamine, Metacha, Yacouba, Kaseke, Yassin Mustafa, Farid Musa na Ditram Nchimbi hawajacheza leo mmepelekeshwa vile wangecheza ingekuaje?....Halafu, si mlisema mna kikosi kipana?, au kimepanuliwa?
 
Habari kila mmoja! Naitwa magana ni shabiki kindakindaki wa club pendwa kabisa ndani na nje ya mipaka ya nchi simba sc. Awali ya yote napenda kutoa pongezi zangu za dhati kwa watani wangu wa jadi young Africa kwa ushindi waliopata baada ya kuifunga club kubwa balani Africa kwa mikwaju ya penality 4-3 Hongereni sana [emoji122]. Ni Jambo la kujivunia kwa kila aliye shabiki wa yanga kuifunga club kubwa balani Africa simba sc, hakika leo ni siku ya furaha ya kiwango cha juu sana kwenu na kwa kila mmoja wenu kwa nafasi yake ataongea kwa kadri alivyojaliwa. Ila nitoe angalizo tu kwamba, kumbukeni kuweka hakiba ya maneno, mwendo haujaisha. Wasalam
 
Wakuu leo ni siku nzuri sana, kwa mashabiki, na watani, wa jadi, wa mpira wa miguu, me ni mshabiki, na mpenzi, wa mnyama Simba SC.

Utabili wangu leo, ni Simba kuondoka na kikombe kutokana na timu yangu kuwa na mwendelezo mzuri wa dozi.

Na leo pia tunaenda kuwauwa Yanga.

Vipi maoni yako, Wewe kuhusu game ya Leo?
Yule paka wenu leo alidhibitiwa mapema sanaa
 
Wakuu leo ni siku nzuri sana, kwa mashabiki, na watani, wa jadi, wa mpira wa miguu, me ni mshabiki, na mpenzi, wa mnyama Simba SC.

Utabili wangu leo, ni Simba kuondoka na kikombe kutokana na timu yangu kuwa na mwendelezo mzuri wa dozi.

Na leo pia tunaenda kuwauwa Yanga.

Vipi maoni yako, Wewe kuhusu game ya Leo?
Ni kweli mmeaondoka na kikombe cha uji
 
Back
Top Bottom