Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Unakimbiza mwizi kimyakimya wakati we mwenyewe mwizi?Hilo ndio mlilobakiwa nalo,kwa hiyo leo SIMBA MNAKUBALI MNA TIMU B.?
Kwa hiyo hamna kikosi kipana ?
Target yenu nusu fainali au robo sahau na hivi viporo mnavyo vitengeneza hivi mnazidi kujichosha,sioni mkiingia robo.Sisi msimu tuna mkimbiza mwizi kimya kimya.
Hatuna kelele mara tunachukua treble,mara tutamfunga yoyote tutakaye kutana nae,ukitusikia ujue tushanyanyua ndoo.
Hapo ulipo sio pako pana mwenyewe uko hapo kwa muda tu usijisahau
Simba ina kikosi kipana na hicho kinatumiwa kwa mahesabu kulingana na uthamani wa ligi.
Hivi unafikiri kingewekwa kile kikosi kilichotoa kipigo cha 4-1 we unafikiri ingekuwaje?
Viporo gani? Focus ya simba sio ligi kuu maana hilo hakuna wa kumuepusha mnyama na ubingwa.