Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #21
Wapi evidence wote wamelipa? Na usitake kuniambia fund raising activity inafanya mahudhurio ya mashemegi derby iwe chini ya 1/4! U r basically a fool! Ni kama mimi nitoe excuse ya concert ya Koffie Olomide!Hasira za nini jombaa? Umetumia hiyo picha moja kuhesabu wote walioshiriki? : Mwaka huu wameshiriki wengi zaidi ya mwaka jana ambapo kulikuwa na participants 20,000 na KES 250million zikaokotwa kwa siku moja! Hebu stats za mwaka huu zikitoka nitazileta humu. Hii ilikuwa 2019.
Unaona hizo kits, tshirt kofia n.k? Wote ambao wanazo wamelipa. Wakenya tuna options nyingi sana, sio soccer tu kuna raga, mpira wa wavu, riadha. K.m mimi huwezi ukanipata kwenye mechi za soka, labda raga. Point yangu ilikuwa uache ligi za kiboya mzee.Wapi evidence wote wamelipa? Na usitake kuniambia fund raising activity inafanya mahudhurio ya mashemegi derby iwe chini ya 1/4! U r basically a fool! Ni kama mimi nitoe excuse ya concert ya Koffie Olomide!
So when I say ur best two teams r nothing to Tanzania's u have nothing to argue! Beginning of this month's people were in droves in Moshi town to take part in the biggest marathon event in the whole of Africa i.e. Kilimanjaro Marathon!Unaona hizo kits, tshirt kofia n.k? Wote ambao wanazo wamelipa. Wakenya tuna options nyingi sana, sio soccer tu kuna raga, mpira wa wavu, riadha. K.m mimi huwezi nipata kwenye mechi za soka, labda raga. Point yangu ilikuwa uache ligi za kiboya mzee.
Fool, Nimeomba evidence wote waliokimbia wamelipa hiyo gharama!Unaona hizo kits, tshirt kofia n.k? Wote ambao wanazo wamelipa. Wakenya tuna options nyingi sana, sio soccer tu kuna raga, mpira wa wavu, riadha. K.m mimi huwezi nipata kwenye mechi za soka, labda raga. Point yangu ilikuwa uache ligi za kiboya mzee.
Nimeoana kiingilio chao ni mia mbili na wameshindwa kujaa [emoji23][emoji23][emoji23]
kwa hiyo fans wa Simba na Yanga wameenda uchi uwanjani?Unaona hizo kits, tshirt kofia n.k? Wote ambao wanazo wamelipa. Wakenya tuna options nyingi sana, sio soccer tu kuna raga, mpira wa wavu, riadha. K.m mimi huwezi nipata kwenye mechi za soka, labda raga. Point yangu ilikuwa uache ligi za kiboya mzee.
Ligi yao haivutii maana pamoja na kiingilio kuwa kidogo bado wameshindwa kuhudhuria,
Ok. Nimekuelewa.kwa hiyo fans wa Simba na Yanga wameenda uchi uwanjani?
uache ubishi wa kifalamanga huwezi kufananisha league ya VPL Tanzania na KPL hata siku moja!Ok. Nimekuelewa.
natumai Makonda na BASATA bado hawajaona hio. yaani mtoto full kujiachilia kama vile yuko ufukweni vile.... lakini sio fukwe za ldc dar. huko madem huvalia madera na buibuiHapa mbona hakufungwa wala kufanywa chochote!
Aibu za middle income pauper nation Kunyaland!Nimeoana kiingilio chao ni mia mbili na wameshindwa kujaa πππ
90% ni wanawake Wanaume walienda wapi wakose Mashemeji derby?Leo wakenya walikuwa wanakimbia kwenye mbio za Beyond Zero Marathon ya First Lady Margret Kenyatta. Barabara 7 zimefungwa jijini Nairobi.Kiingilio 46,000tzshs na 60,000tzs kwa elite race. Corporate kiingilio ni KES 150,000(sijui hiyo kwa hela ya madafu itakuwa ni shilingi ngapi.) Yote kwasababu ya charity na kumpa support First Lady na kampeni yake ya Beyond Zero, inayohusu huduma bora za afya kwa watoto. MK254 hebu tuletee ripoti kutoka kwa ground.
Wewe bwabwaja tu.natumai Makonda na BASATA bado hawajaona hio. yaani mtoto full kujiachilia kama vile yuko ufukweni vile.... lakini sio fukwe za ldc dar. huko madem huvalia madera na buibui
shukran.Wewe bwabwaja tu.
Nowadays Kenya football hakuna mtu ako na haja nayo,,Aibu za middle income pauper nation Kunyaland!
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096
Nowadays Kenya football hakuna mtu ako na haja nayo,,
The most useless sport.
By 2030 itakuwa imesahaulika Kenya.
Ata waweke bure kuingia uwanja utabaki empty
RFUEA hujaa na entrance fee huwa 1000/2500.The truth is u r broke as people! May be Mashemeji derby ingeitwa BBI watu wangekuja!