Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
- #21
Wapi evidence wote wamelipa? Na usitake kuniambia fund raising activity inafanya mahudhurio ya mashemegi derby iwe chini ya 1/4! U r basically a fool! Ni kama mimi nitoe excuse ya concert ya Koffie Olomide!Hasira za nini jombaa? Umetumia hiyo picha moja kuhesabu wote walioshiriki? : Mwaka huu wameshiriki wengi zaidi ya mwaka jana ambapo kulikuwa na participants 20,000 na KES 250million zikaokotwa kwa siku moja! Hebu stats za mwaka huu zikitoka nitazileta humu. Hii ilikuwa 2019.![]()