Hatuwezi kuiga ujingaUzur Simba wanaubunifu wenye manufaa yasionashaka na hawajawah kusikiliza kelele zenye chembechembe ya wivu toka upande wapili. Sanasana kinachofuatia hapo nikuigwa tu na baadhi ya timu kwa kuswitch kidogo utasikia mwananchi cup kama ilivyo Simba day tu.
Luc hakukosea kuwafananisha na nyaniKuna mtu hapa kauliza Simba jana kacheza ligi gani, nimemjibu ligi yake katengeneza kikombe chake, kaleta marefa wake, mipira yake, timu tatu na kombe linatolewa JPili.
Huyu jamaa nimemuacha anacheka huku anagalagala chini sijajua anacheka kwa kitu gani?
HAYA MTOE JIBU NANI ZAIDI
Kwani mlitufunga goli ngapi nyie mwakalebela fc?Jibu swali mliukalia hamkuukalia?
Uto kama utoManyau fc bhanaaaa
Jibu swali we kilaza wa mwakalebelaNdo useme wewe ulikalia ndonga ngapi
Sawa nyani fc kwa mujibu wa kocha wenu lucNa bado tunawasubiria muukalie yena na round hii tunataka na mauno
Kwani unateseka ukiwa wapi?Mikia mwaka huu mtasaga meno
Kutwa kucha anayehangaika na mambo yasiyomhusu. Pia yule anayemlipa shabiki wake aingize paka uwanjani kwa lengo la kuchafua upande wa pili.Mapaka bhana nyie na sie nani anadhalilisha taifa
Hatuwezi kuiga ujinga