Babumawe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 2,556
- 2,571
- Thread starter
- #21
Hatuwezi kuiga ujingaUzur Simba wanaubunifu wenye manufaa yasionashaka na hawajawah kusikiliza kelele zenye chembechembe ya wivu toka upande wapili. Sanasana kinachofuatia hapo nikuigwa tu na baadhi ya timu kwa kuswitch kidogo utasikia mwananchi cup kama ilivyo Simba day tu.