Simba SC vs Ze Comedy nani zaidi?

Simba SC vs Ze Comedy nani zaidi?

Uzur Simba wanaubunifu wenye manufaa yasionashaka na hawajawah kusikiliza kelele zenye chembechembe ya wivu toka upande wapili. Sanasana kinachofuatia hapo nikuigwa tu na baadhi ya timu kwa kuswitch kidogo utasikia mwananchi cup kama ilivyo Simba day tu.
Hatuwezi kuiga ujinga
 
Mlipewa kitabu chenye kurasa 400 kwa ajili ya mfumo wa kiuendeshaji ndani ya Yanga, VP mmefika ukurasa wa ngapi au kila jioni mnaenda kuangalia mazoezi ya simba pale bunju[emoji3][emoji3]
Tuachie wenyewe nyie haiwahusu
 
Kuna mtu hapa kauliza Simba jana kacheza ligi gani, nimemjibu ligi yake katengeneza kikombe chake, kaleta marefa wake, mipira yake, timu tatu na kombe linatolewa JPili.

Huyu jamaa nimemuacha anacheka huku anagalagala chini sijajua anacheka kwa kitu gani?

HAYA MTOE JIBU NANI ZAIDI
Luc hakukosea kuwafananisha na nyani
FB_IMG_1606901481080.jpg
 
Back
Top Bottom