Simba SC vs Ze Comedy nani zaidi?

Babumajiwe!Hivi lile jina lenu pendwa la "utopolo fc" mna mpango wa kulisajili brela!? Utopolo fc!
 
Huyo si Mze Akilimali kweli kafufuka kaja kuwacheka Viluilui wa Jangwani kujilinganisha na mnyama hatari, Simba.
 
Kama wameshindwa kulipia faini ya msemaji wao milioni 5 wataweza kweli kulipia gharama ya kuleta timu toka nje ya nchi na kulipia gharama ya malazi kwa timu hizo
Mnajuta kwa hasara mnayoipata ndo mana viingilio mmeweka buku 3 ili mpunguze hasara
 
Hatuwezi kuiga ujinga
Sinba day mkaiga mkaja na mwananchi day,
Uzuri we si kiongoz wa UTOPOLO ,Ila huko utopoloni viongozi wameshaanza kuwaza watakuja vp.Na utapokea kwa furaha na mtasahau haya mnayoongea leo.
Simba Super Cup ,huu ni mwanzo na huko mbeleni litaboreshwa na hata Utopolo mtaalikwa km mtakidhi vigezo.Kwa sababu hatualiki timu ndogo ndogo au za hovyo hovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…