Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Ushindi wa mapinduzi ulikuwa matuta lakini nye dada zetu vigelegele mwenzi mzima Miku...ndu juuNyie si hamkushiriki au sio na hamkupapaswa na mabingwa wa kihistoria
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushindi wa mapinduzi ulikuwa matuta lakini nye dada zetu vigelegele mwenzi mzima Miku...ndu juuNyie si hamkushiriki au sio na hamkupapaswa na mabingwa wa kihistoria
Huyo si Mze Akilimali kweli kafufuka kaja kuwacheka Viluilui wa Jangwani kujilinganisha na mnyama hatari, Simba.Kuna mtu hapa kauliza Simba jana kacheza ligi gani, nimemjibu ligi yake katengeneza kikombe chake, kaleta marefa wake, mipira yake, timu tatu na kombe linatolewa JPili.
Huyu jamaa nimemuacha anacheka huku anagalagala chini sijajua anacheka kwa kitu gani?
HAYA MTOE JIBU NANI ZAIDI
Kama wameshindwa kulipia faini ya msemaji wao milioni 5 wataweza kweli kulipia gharama ya kuleta timu toka nje ya nchi na kulipia gharama ya malazi kwa timu hizoSimba imeandaa kombe lao wenyewe kujipima sasa utopolo mnaumia nini
Mnajuta kwa hasara mnayoipata ndo mana viingilio mmeweka buku 3 ili mpunguze hasaraKama wameshindwa kulipia faini ya msemaji wao milioni 5 wataweza kweli kulipia gharama ya kuleta timu toka nje ya nchi na kulipia gharama ya malazi kwa timu hizo
Mkishakosa kila kitu mnabaki kujifariji kwa kujiita mabingwa wa kihistoria.Nyie si hamkushiriki au sio na hamkupapaswa na mabingwa wa kihistoria
Sinba day mkaiga mkaja na mwananchi day,Hatuwezi kuiga ujinga
Bora ukakaa kimya huna hoja.Una mawazo ya kivulana sana.Mnajuta kwa hasara mnayoipata ndo mana viingilio mmeweka buku 3 ili mpunguze hasara
Kamchangieni bumbuli kwanza halafu mje kuongelea hasara ya SimbaMnajuta kwa hasara mnayoipata ndo mana viingilio mmeweka buku 3 ili mpunguze hasara
Hiyo tabia inaendana na mavazi yao ya madela kutwa umbeyaKutwa kucha anayehangaika na mambo yasiyomhusu. Pia yule anayemlipa shabiki wake aingize paka uwanjani kwa lengo la kuchafua upande wa pili.
Mtahangaika sana, wewe niaje ulishiriki?Aaaah pia mliifunga Azam iliotoka kucheza jana yake.Utopolo oyeee
Hamna timu humo, maneno matupu tu nyie mbu3.Anzeni kuandaa visingizio tutakapowapa kipigo cha mbwa mwizi maana dalili za 4g zishaanza kuonekana
Anaehangaika ni nyinyi utopolo..Mtahangaika sana, wewe niaje ulishiriki?