Acha nichekeπ€£π€£Katika ibada ya Leo tarehe 6/04, Mtume Boniphace Mwamposa amekiri kupokea mualiko wa Simba SC kuhudhuria na kuwaombea kuhusu mechi ijayo ya tarehe 9/04/2025.
Ameahidi kuhudhuria au kutuma wawakilishi katika mechi hiyo na atawaombea.
Hongereni Simba SC kwa kuachana na Matunguli. Shikilieni hapo hapo.
Watashenyentwa kama Tp mazembeKatika ibada ya Leo tarehe 6/04, Mtume Boniphace Mwamposa amekiri kupokea mualiko wa Simba SC kuhudhuria na kuwaombea kuhusu mechi ijayo ya tarehe 9/04/2025.
Ameahidi kuhudhuria au kutuma wawakilishi katika mechi hiyo na atawaombea.
Hongereni Simba SC kwa kuachana na Matunguli. Shikilieni hapo hapo.
Wamechungulia wameona kuna goli kadhaa sasa hawajui za upande upi maana internet za wazee zimekwama sasa wameamua warudi nyumbani maana kumenoga!..πKwahiyo wale wazee wafupi na mbuzi hawana dili tena?
Mwehu wewe,hujui mpiraRage alikuwa sahihi kuwaiteni mbumbumbu
Kwani wasio na akili hutwaje??????Mwehu wewe,hujui mpira
UtopwinyoKwani wasio na akili hutwaje??????
Mkuu respect sana kwako, unaonekana mstaarabu sana kwenye haya maswala ya usimba na uyanga naonaga Jinsi unavyotoa koment zako kwa staha, na unaonekana uko vizuri kiuchumi na huna muda na ushabiki wa kijinga wenye matusi na lugha chafu na za fedheha.wanataka kupokea upako