Simba SC waingiza wawili kikosi Bora cha wiki CAFCC

Ile Team Itakayocheza NA KMC Imemwalika Rais
Wakipita Hapa Wanasonya Tu Na Kutema Mate Kando
 
Jamani kwahyo waarabu wa juzi wageni wa utopolo kikosi chao chote ni almanusura almautiiii
 
Wanangu wa Thimba hapo mnaona ni bonge la mafanikio kumbe hamna kitu, haya wameingia kwenye kikosi bora, what next kama tu sio kusifiwa na kufunika kusahauπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Duniani kikubwa sifa tuu najua mnazitaka pia
 
Hao ndio wanaokujaga kwa Simba,refer kwa Pape O. Sakho
 
Tubebe kwani tunaokota mkuu,kwa hiyo haturuhusiwi kuzungumzia timu yetu na wachezaji kiujumla. Watu bwana
Si ndio hapo sasa. Mimi binafsi nimeona kama jamaa ameamua kufanya ukatili tu.

Yaani watu wasiipongeze timu yao hadi pale itakapotwaa ubingwa wa Afrika ?

Nadhani hata jukwaa litakua linaboa maana kutatawala ukimya wa ajabu.

Hii ni sawa na kumkataza mtoto asifurahie kufaulu mtihani wa muhula wa kwanza wa Hesabu kidato cha pili, eti asubiri afaulu mtihani wa form four ndipo afurahi.
UKATILI
 
ROHO MBAYA IKIZIDI NAYO CHANGANYA NA MAUMIVU.
 
17 years old boy hawezi mikikimikiki na ulozi wa bongo tutamaharibia future yake.

Victorien Adebayor atosha tucheze 4 3 3.
 
Kwa timu ya ASEC Mimosas huenda Mchezaji Aziz Stephanie..! kuja Simba SC
Kuondoka kwa Kagere, Mugalu, Wawa na Morisson probably Lwanga kutafungua usajili wa wachezaji watano wa kimataifa.

Probably mbili zinaweza kuwa zimeshajazwa tayari kwa maana ya Moses Phiri na Victorien Adebayor.

Ila kwenye striking force binafsi naona Simba wangemtazama Aboubakary Nassir ili tukamilishe replacement za Morisson, Kagere na Mugalu kwa pamoja.
 
Hivi hawa shughuli ya VLADIMIR ENOCK INONGA PUTIN hawakuiona ama? Jamaa wikii hii aliupiga mwingi mnoo, kapiga TAKOLING, zikapitiliza mpaka kuwa BOROLING.
Alifanya errors kadhaa ambazo kama Berkane wangekuwa makini zingekuwa ni errors leading to a goal.
 
Miongoni mwa wachezaji wabovu kusajiliwa na huyu ni mmoja wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…