Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
😁😀 Simba Ipo Juu Wachambuzi Wa Kuganga Hawana Uwezowachambuzi wa mchongo wanasemaje ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😀 Simba Ipo Juu Wachambuzi Wa Kuganga Hawana Uwezowachambuzi wa mchongo wanasemaje ?
Duniani kikubwa sifa tuu najua mnazitaka piaWanangu wa Thimba hapo mnaona ni bonge la mafanikio kumbe hamna kitu, haya wameingia kwenye kikosi bora, what next kama tu sio kusifiwa na kufunika kusahau😂😂😂
Hao ndio wanaokujaga kwa Simba,refer kwa Pape O. SakhoKonate ni ngumu Sana kuja Simba ndugu yangu.Media houses za ivory coast zinampamba kila siku na kumfananisha na drogba wa baadae,wenyewe wanasema ana hadhi ya kuchezea ulaya na si Africa .Kiufupi huyu dogo ni kama Kelvin John wa bongo kule kwao
Wa kuja bongo hapa ni Yule wa USGN;Adebayo
Hata mwenyewe anaonekana km anaipenda simba,na anonekana endapo ulaya kutabuma ameiweka Simba km option B
Kila hatua, dua.bebeni kombe la shirikisho Africa sio kujisifu mumeingiza wachezaji wawili kwenye kikosi cha wiki, thimba guvu moyaaa
Tubebe kwani tunaokota mkuu,kwa hiyo haturuhusiwi kuzungumzia timu yetu na wachezaji kiujumla. Watu bwanaKila hatua, dua.
Si ndio hapo sasa. Mimi binafsi nimeona kama jamaa ameamua kufanya ukatili tu.Tubebe kwani tunaokota mkuu,kwa hiyo haturuhusiwi kuzungumzia timu yetu na wachezaji kiujumla. Watu bwana
ROHO MBAYA IKIZIDI NAYO CHANGANYA NA MAUMIVU.Si ndio hapo sasa. Mimi binafsi nimeona kama jamaa ameamua kufanya ukatili tu.
Yaani watu wasiipongeze timu yao hadi pale itakapotwaa ubingwa wa Afrika ?
Nadhani hata jukwaa litakua linaboa maana kutatawala ukimya wa ajabu.
Hii ni sawa na kumkataza mtoto asifurahie kufaulu mtihani wa muhula wa kwanza wa Hesabu kidato cha pili, eti asubiri afaulu mtihani wa form four ndipo afurahi.
UKATILI
17 years old boy hawezi mikikimikiki na ulozi wa bongo tutamaharibia future yake.SIMBA YATOA WAWILI KIKOSI BORA CHA WIKI CAF
Hiki Hapa Kikosi Bora cha wiki Kombe la Shirikisho Afrika:
1. Zakaria Saidi (JS Soura)
2. Karim El Eraki (Al Masry)
3. Mohammed Hussein (Simba SC)
4. Kevin Mondeko (TP Mazembe)
5. Joash Onyango (Simba)
6. Ghazi Ayadi (JS Soura)
7. Hassan Ali (Al Masry)
8. Felix Oukine (Coton Sport)
9. Karim Konate (Asec Mimosas)
10. Mohammed El Fakih (Al Ahli Tripoli)
11. Kabelo Dlamin (Orlando Pirates)
My Take
Huyu Konate aje Simba Sc tuchukue CAFCL mwakani
Chama mtampeleka wapi ?Kwa timu ya ASEC Mimosas huenda Mchezaji Aziz Stephanie..! kuja Simba SC
Kuondoka kwa Kagere, Mugalu, Wawa na Morisson probably Lwanga kutafungua usajili wa wachezaji watano wa kimataifa.Kwa timu ya ASEC Mimosas huenda Mchezaji Aziz Stephanie..! kuja Simba SC
Alifanya errors kadhaa ambazo kama Berkane wangekuwa makini zingekuwa ni errors leading to a goal.Hivi hawa shughuli ya VLADIMIR ENOCK INONGA PUTIN hawakuiona ama? Jamaa wikii hii aliupiga mwingi mnoo, kapiga TAKOLING, zikapitiliza mpaka kuwa BOROLING.
Alifanya errors kadhaa ambazo kama Berkane wangekuwa makini zingekuwa ni errors leading to a goal.Hivi hawa shughuli ya VLADIMIR ENOCK INONGA PUTIN hawakuiona ama? Jamaa wikii hii aliupiga mwingi mnoo, kapiga TAKOLING, zikapitiliza mpaka kuwa BOROLING.
Ni wivu tuila maajabu hamna hata kombe la kimataifa
Daah!!!Hivi hawa shughuli ya VLADIMIR ENOCK INONGA PUTIN hawakuiona ama? Jamaa wikii hii aliupiga mwingi mnoo, kapiga TAKOLING, zikapitiliza mpaka kuwa BOROLING.
Miongoni mwa wachezaji wabovu kusajiliwa na huyu ni mmoja waoHivi hawa shughuli ya VLADIMIR ENOCK INONGA PUTIN hawakuiona ama? Jamaa wikii hii aliupiga mwingi mnoo, kapiga TAKOLING, zikapitiliza mpaka kuwa BOROLING.