Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanajiita next level hahaha. next level gani unatangaza bajeti ya club bar?Niliposikia Simba SC wamesajili mwamba head of scouting NALIA NGWENA niliona Simba sc wameamua kupiga hatua.
Ila nimekuja kushangaa kuona Simba SC wanavizia wachezaji Airport.
Sasa nauliza huyo mtu wa scouting aliyesajiliwa kazi yake ni nini? Na Kama kazi yake ni kuzunguka kutafuta wachezaji huko nje, hizi tetesi za kutega uwanja wa ndege ni za nini?
Simba SC wanajitekenya na kucheka wenyewe.
Hiyo kawaida mpaka ulaya ipo kuibiana wachezajiNiliposikia Simba SC wamesajili mwamba head of scouting NALIA NGWENA niliona Simba sc wameamua kupiga hatua.