Simba SC walisajili Head of Scouting awe anakaa kwenye milango ya uwanja wa ndege awasajilii wachezaji wanaohisiwa kusajiliwa na Yanga SC?

Niliposikia Simba SC wamesajili mwamba head of scouting NALIA NGWENA niliona Simba sc wameamua kupiga hatua.

Ila nimekuja kushangaa kuona Simba SC wanavizia wachezaji Airport.

Sasa nauliza huyo mtu wa scouting aliyesajiliwa kazi yake ni nini? Na Kama kazi yake ni kuzunguka kutafuta wachezaji huko nje, hizi tetesi za kutega uwanja wa ndege ni za nini?

Simba SC wanajitekenya na kucheka wenyewe.
wanajiita next level hahaha. next level gani unatangaza bajeti ya club bar?
 
Niliposikia Simba SC wamesajili mwamba head of scouting NALIA NGWENA niliona Simba sc wameamua kupiga hatua.

Ila nimekuja kushangaa kuona Simba SC wanavizia wachezaji Airport.

Sasa nauliza huyo mtu wa scouting aliyesajiliwa kazi yake ni nini? Na Kama kazi yake ni kuzunguka kutafuta wachezaji huko nje, hizi tetesi za kutega uwanja wa ndege ni za nini?

Simba SC wanajitekenya na kucheka wenyewe.
Hiyo kawaida mpaka ulaya ipo kuibiana wachezaji
 
358132229_18226265845226150_1278681305450744382_n.jpg
 
Back
Top Bottom