Simba SC walisajili Head of Scouting awe anakaa kwenye milango ya uwanja wa ndege awasajilii wachezaji wanaohisiwa kusajiliwa na Yanga SC?

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Niliposikia Simba SC wamesajili mwamba head of scouting NALIA NGWENA niliona Simba sc wameamua kupiga hatua.

Ila nimekuja kushangaa kuona Simba SC wanavizia wachezaji Airport.

Sasa nauliza huyo mtu wa scouting aliyesajiliwa kazi yake ni nini? Na Kama kazi yake ni kuzunguka kutafuta wachezaji huko nje, hizi tetesi za kutega uwanja wa ndege ni za nini?

Simba SC wanajitekenya na kucheka wenyewe.
 
358175516_285157660704528_7464129951346038097_n.jpg

Kwani simba wamemsajili kibabage,unless huna cha kusema,umeamua kutoa shutuma tu
 
Simba wanatafuta wachezaji kwa umaarufu badala ya kutafuta wachezai wanaofit kwenye timu yao. Vijana wa Yanga wamekuwa wazuri sana kuwaongoza Simba kwenye usajiri ambao yanga wanautaka. Yanga wanasema wanataka kusajiri mchezaji fulani maarufu lakini hana sifa za ligi kuu ya Tanzania, Simba wanamvamia mchezeji huyo. Yanga huwa hawatangazi wachezaji wanaotaka kuwasajiri kwa hiyo ukishasikia wanasema tunamtaka mchezaji fulani basi ujue wanataka kuwamislead Simba wamkimbilie na wamefanikiwa sana kwa hilo.
 
Kwahiyo simba inafanyiwa scouting na yanga?
 
Niliposikia Simba SC wamesajili mwamba head of scouting NALIA NGWENA niliona Simba sc wameamua kupiga hatua.

Ila nimekuja kushangaa kuona Simba SC wanavizia wachezaji Airport.

Sasa nauliza huyo mtu wa scouting aliyesajiliwa kazi yake ni nini? Na Kama kazi yake ni kuzunguka kutafuta wachezaji huko nje, hizi tetesi za kutega uwanja wa ndege ni za nini?

Simba SC wanajitekenya na kucheka wenyewe.
Aaahaaaa,labda chuoni hiyo ndo ilikuwa kozi yake ya uviziaji
 
Niliposikia Simba SC wamesajili mwamba head of scouting NALIA NGWENA niliona Simba sc wameamua kupiga hatua.

Ila nimekuja kushangaa kuona Simba SC wanavizia wachezaji Airport.

Sasa nauliza huyo mtu wa scouting aliyesajiliwa kazi yake ni nini? Na Kama kazi yake ni kuzunguka kutafuta wachezaji huko nje, hizi tetesi za kutega uwanja wa ndege ni za nini?

Simba SC wanajitekenya na kucheka wenyewe.
Simba, chama kubwa la wehu
 
Kama mambo ya utekaji Al shabab wangefaa zaidi kuliko scout
 
Simba wanatafuta wachezaji kwa umaarufu badala ya kutafuta wachezai wanaofit kwenye timu yao. Vijana wa Yanga wamekuwa wazuri sana kuwaongoza Simba kwenye usajiri ambao yanga wanautaka. Yanga wanasema wanataka kusajiri mchezaji fulani maarufu lakini hana sifa za ligi kuu ya Tanzania, Simba wanamvamia mchezeji huyo. Yanga huwa hawatangazi wachezaji wanaotaka kuwasajiri kwa hiyo ukishasikia wanasema tunamtaka mchezaji fulani basi ujue wanataka kuwamislead Simba wamkimbilie na wamefanikiwa sana kwa hilo.
NAKAZIA [emoji123]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom