Simba SC wana jambo la kujifunza

Simba SC wana jambo la kujifunza

hv uwanja pale jangwani mmeshaanza kujenga?.sema gsm mjanja sana.alipoona kaingiza hela za caf akawazuga na raman ya uwanja.ili mkae kimya
 
Wameenda kwa nguvu zao wakipewa shavu la M-BET .. Wewe huna hata mchango wala kadi ya SSC kwa nini usumbuke?
 
Usimfananishe kila mtu kama kila mtu mkuu.
Sijaelewa una maanisha nini. Ila elewa timu kwenda maandalizi ya msimu nje ya nchi kunakuwa na nguvu kubwa ya wadhamini nyuma yake inayoibana kulingana na mikataba. SSC kwenda Turkey kunahusisha mambo mengi.
 
Back
Top Bottom