Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wivu sinaWivu tu
Ukiwa na pesa berthday party unaifanyia dubai... ukiwa mlala hoi ukumbuki tarehe yako ya kuzaliwa. Acha watu wafurahie pesa zaoTimu ya wekundu wa msimbazi wana jambo la kujifunza, haswa nini cha kufanya kipindi cha preseason nini umuhimu wa preseason na Benchi la ufundi linanufaika vipi.
Simba wamepeleka timu uturuki ambapo siku 6 zinatumika katika usafiri 3 kwenda 3 kurudi. Hapo ni wiki moja imepotea safarini ambazo ni siku nyingi sana katika mazoezi.
Wachezaji zaidi ya watano waliachwa Tanzania kwa changamoto mbalimbali wakiwemo maingizo mapya. Je kocha anapaswa kukaa na wachezaji wake haswa wapya kwa muda gani? ni wastani wa wiki 4 ( minimum) mpaka 8 ( maximum).
Kumbe kama preseason wangefanyia Tanzania wangekuwa ndani ya huo muda ili kumpa kocha nafasi ya kutosha kuwafanyia wachezaji assessment.
Itoshe kusema kwamba endapo Simba akapoteza ngao ya Jamii huyu kocha atafukuzwa na sio kwa makosa yake bali ni management mbovu waliyonayo.
Yes furahieni hela zenu huku mkikata tamaa mdogomdogo na league ikianza msije anza kulia mkasahau mmezitumia zikaisha.Ukiwa na pesa berthday party unaifanyia dubai... ukiwa mlala hoi ukumbuki tarehe yako ya kuzaliwa. Acha watu wafurahie pesa zao
Hawa waliopo au unahangaika na hadithi za zamani za kale?Si mazoezi tu.Pia ni motisha kwa timu.Ninyi mkienda Nalyendele kwani kuna mtu atawadai tiketi za kielektroniki na pasipoti?Apangaye alishachagua.Tulia hivyohivyo ubugizwe matoke.Kati ya Simba na Yanga nani wa kwanza kwenda Turkey??
Ramli chonganishiTimu ya wekundu wa msimbazi wana jambo la kujifunza, haswa nini cha kufanya kipindi cha preseason nini umuhimu wa preseason na Benchi la ufundi linanufaika vipi.
Simba wamepeleka timu uturuki ambapo siku 6 zinatumika katika usafiri 3 kwenda 3 kurudi. Hapo ni wiki moja imepotea safarini ambazo ni siku nyingi sana katika mazoezi.
Wachezaji zaidi ya watano waliachwa Tanzania kwa changamoto mbalimbali wakiwemo maingizo mapya. Je kocha anapaswa kukaa na wachezaji wake haswa wapya kwa muda gani? ni wastani wa wiki 4 ( minimum) mpaka 8 ( maximum).
Kumbe kama preseason wangefanyia Tanzania wangekuwa ndani ya huo muda ili kumpa kocha nafasi ya kutosha kuwafanyia wachezaji assessment.
Itoshe kusema kwamba endapo Simba akapoteza ngao ya Jamii huyu kocha atafukuzwa na sio kwa makosa yake bali ni management mbovu waliyonayo.
[emoji23][emoji23] mpira na majigambo havijawahi kwenda sawa mkuuHawa walipo au unahangaika na hadithi za zamani za kale?Si mazoezi tu.Pia ni motisha kwa timu.Ninyi mkienda Nalyendele kwani kuna mtu atawadai tiketi za kielektroniki na pasipoti?Apangaye alishachagua.Tulia hivyohivyo ubugizwe matoke.
Oya we jamaa [emoji23][emoji23]Ramli chonganishi
Yawezekana huujui mchezo huo.[emoji23][emoji23] mpira na majigambo havijawahi kwenda sawa mkuu
Naam utajigamba sana, utatamba sana ila mwisho wa siku dk 90 zitaamuaYawezekana huujui mchezo huo.
Wakati huohuo ninyi mtakuwa mnacheza na Malumo.Naam utajigamba sana, utatamba sana ila mwisho wa siku dk 90 zitaamua
Nipo..vipi MkuuOya we jamaa [emoji23][emoji23]
Marumo kacheza nusu fainal Shirikisho ambayo ni ndoto kubwa kwakoWakati huohuo ninyi mtakuwa mnacheza na Malumo.
Hiyo sio Ramuli manNipo..vipi Mkuu
Nadhani huna historia.Yawezekana ulikuwa omwana sana siku hizo Simba akifanya yake wewe bado ukiitwa jina la uji Kaizirege.Marumo kacheza nusu fainal Shirikisho ambayo ni ndoto kubwa kwako
[emoji23][emoji23] unajikuta uli mushaija sana wanaman Simba hamkuwahi shiriki nusu fainal Shirikisho tangu kuanzishwa kwenu!Nadhani huna historia.Yawezekana ulikuwa omwana sana siku hizo Simba akifanya yake wewe bado ukiitwa jina la uji Kaizirege.
Ili kupata kichekesho hiki bonyeza#Mwaka huu mtaomba pooo..mimi huwa nikisema jambo jua ndivyo ilivyo...mwaka huu Simba bingwa
Ni furaha iwapo kolo atafukuza kocha hata wakati huu wa pre season😂😂😂.Timu ya wekundu wa msimbazi wana jambo la kujifunza, haswa nini cha kufanya kipindi cha preseason nini umuhimu wa preseason na Benchi la ufundi linanufaika vipi.
Simba wamepeleka timu uturuki ambapo siku 6 zinatumika katika usafiri 3 kwenda 3 kurudi. Hapo ni wiki moja imepotea safarini ambazo ni siku nyingi sana katika mazoezi.
Wachezaji zaidi ya watano waliachwa Tanzania kwa changamoto mbalimbali wakiwemo maingizo mapya. Je kocha anapaswa kukaa na wachezaji wake haswa wapya kwa muda gani? ni wastani wa wiki 4 ( minimum) mpaka 8 ( maximum).
Kumbe kama preseason wangefanyia Tanzania wangekuwa ndani ya huo muda ili kumpa kocha nafasi ya kutosha kuwafanyia wachezaji assessment.
Itoshe kusema kwamba endapo Simba akapoteza ngao ya Jamii huyu kocha atafukuzwa na sio kwa makosa yake bali ni management mbovu waliyonayo.
Yanga hajawahi kucheza Nusu Fainali Klabu Bingwa tangu kuanzishwa kwake,Simba amecheza mwaka 1974[emoji23][emoji23] unajikuta uli mushaija sana wanaman Simba hamkuwahi shiriki nusu fainal Shirikisho tangu kuanzishwa kwenu!
[emoji23][emoji23] sio furahaNi furaha iwapo kolo atafukuza kocha hata wakati huu wa pre season[emoji23][emoji23][emoji23].