Bukoba Finest
JF-Expert Member
- Jul 13, 2023
- 250
- 315
- Thread starter
-
- #41
1974 hakukuwa na sheria za mpira Africa kwahyo hiyo haitambulikiYanga hajawahi kucheza Nusu Fainali Klabu Bingwa tangu kuanzishwa kwake,Simba amecheza mwaka 1974
Endelea kukenua...Ili kupata kichekesho hiki bonyeza#
Wewe umejuaje anadanganya?hv uwanja pale jangwani mmeshaanza kujenga?.sema gsm mjanja sana.alipoona kaingiza hela za caf akawazuga na raman ya uwanja.ili mkae kimya
Usimfananishe kila mtu kama kila mtu mkuu.Wameenda kwa nguvu zao wakipewa shavu la M-BET .. Wewe huna hata mchango wala kadi ya SSC kwa nini usumbuke?
Sijaelewa una maanisha nini. Ila elewa timu kwenda maandalizi ya msimu nje ya nchi kunakuwa na nguvu kubwa ya wadhamini nyuma yake inayoibana kulingana na mikataba. SSC kwenda Turkey kunahusisha mambo mengi.Usimfananishe kila mtu kama kila mtu mkuu.