Simba SC wanapaswa kutafuta mwarobaini wa kuondoa sare kwenye mechi za kimataifa

TATIZO LA SIMBA NI USAJILI TU.

1. GOLIKIPA.
2. KIUNGO MKABAJI
3. NO 10. MBADALA WA SIADO AU CHAMA.

Bila kurekebisha hapa.
Watateseka miaka 100
 
Tangu jana mpaka leo huu ni uzi wako karibia wa 20 kuhusu Simba, tuweke utani pembeni hivi hunaga mambo mengine ya kimaisha tofauti na simba ?
Kuna mwenzie ajiitae Labani og ,basi wao hawana cha kuandika zaidi ya kuiongelea Simba tu! . Na inawezekana ni mtu mmoja mwenye ID tofauti!
 
Unaongea jambo la msingi Sana japo wapo watakao kurushia mawe .....ila ukwl usemwe kuna vitu bado havijakaa sawa kwenye kikosi cha simba hivyo wakaze buti
 

Tusipangiane asee, kila mtu abakie na timu yake. Wewe kila siku kuizungumzia Simba inakuuma nini?

Kila mtu apambane na hali yake huko alipo. Ila elewa tu Simba ni timu kubwa sana.
 
Mchawi na mtaalam wa kilio cha ngwewna!! ngwena!! ngwena!! ngwena!! tuambie kwanza utabiri wako wa simba kufungwa 6-0 ulifia wapi? Tayari Uto wamefikia kilele cha mafanikio kwenye caf champions league kwa kufika hatua ya makundi!! Hayo ndiyo malengo makubwa ya "waqnanchi". Kinachozidi hapo ni bahati isiyotarajiwa!!
 
NIONESHE SCREEN SHOT IKISEMA HIVYO.
 
Tusipangiane asee, kila mtu abakie na timu yake. Wewe kila siku kuizungumzia Simba inakuuma nini?

Kila mtu apambane na hali yake huko alipo. Ila elewa tu Simba ni timu kubwa sana.
ITAENDELEA KUDROO MPAKA MUHAME TIMU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…