Simba SC wanapaswa kutafuta mwarobaini wa kuondoa sare kwenye mechi za kimataifa

Kweli kabisa....
 
Hata mwaka Jana kwenye Mashindano haya ya Mabingwa ulikuwa wa mwisho kuamini,lakini Simba iliingia Quarter Finals
 
Sare 2, na kufungwa 1 na sare 1 bora nn?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama timu yako ina pointi nyingi nyoosha mkono juu😁😁😁
Kwamba unaweza kugawa na kikabaki kitu
 
Uto namba moja ni heri ulie na uto yako!! Mkia mlioukalia 1998 hadi leo unawahusu kwenye makundi!! Mmebakiza kuvuan pointi 1 tu kwenye mechi nne zilizobaki!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…