Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endapo Simba sc watavunja mkataba wa Sawadogo itabidi wamlipe kitita Cha shilingi milioni Mia Saba na chenchi (700) mil lakini Simba sc wakimuuza kwenda kwenye timu nyingine itabidi wamlipe kitita Cha bilioni moja na ushehe 1.4bilioni
"Niliitwa na viongozi kwa ajili ya kumalizana nao ili niweze kuvunjiwa mkataba nilikubali lakini niliwaambia wafuate masharti ya mkataba"
Viongozi wa Simba sc suala la Sawadogo ni pasua kichwa kila wanapokumbuka mashart ya mkataba.
Maoni yangu: hakuna mchambuzi anayeliongelea hili kwa kua ni Simba sc wachambuzi wote wa mchongo wanapita Kama hawalioni.
Haya endeleeni kushupaza shingo kuhusu uvumi wa Yanga sc kufungiwa kusajili huku Sawadogo kawakaba Koo.
Nawasilisha hoja

Mmeshamlipa yule kocha?Endapo Simba sc watavunja mkataba wa Sawadogo itabidi wamlipe kitita Cha shilingi milioni Mia Saba na chenchi (700) mil lakini Simba sc wakimuuza kwenda kwenye timu nyingine itabidi wamlipe kitita Cha bilioni moja na ushehe 1.4bilioni
"Niliitwa na viongozi kwa ajili ya kumalizana nao ili niweze kuvunjiwa mkataba nilikubali lakini niliwaambia wafuate masharti ya mkataba"
Viongozi wa Simba sc suala la Sawadogo ni pasua kichwa kila wanapokumbuka mashart ya mkataba.
Maoni yangu: hakuna mchambuzi anayeliongelea hili kwa kua ni Simba sc wachambuzi wote wa mchongo wanapita Kama hawalioni.
Haya endeleeni kushupaza shingo kuhusu uvumi wa Yanga sc kufungiwa kusajili huku Sawadogo kawakaba Koo.
Nawasilisha hoja
Ameamua kuwasameheMmeshamlipa yule kocha?
Ameona aibu kuwadai ManyaniAmeamua kuwasamehe