Simba SC washindwa kumpa "Thank you" Sawadogo kutokana na masharti ya mkataba

Simba SC washindwa kumpa "Thank you" Sawadogo kutokana na masharti ya mkataba

Hata huu ni uvumi kama unaokataa watu waiamini wa kuhusu Yanga kufungiwa
 
Endapo Simba sc watavunja mkataba wa Sawadogo itabidi wamlipe kitita Cha shilingi milioni Mia Saba na chenchi (700) mil lakini Simba sc wakimuuza kwenda kwenye timu nyingine itabidi wamlipe kitita Cha bilioni moja na ushehe 1.4bilioni

"Niliitwa na viongozi kwa ajili ya kumalizana nao ili niweze kuvunjiwa mkataba nilikubali lakini niliwaambia wafuate masharti ya mkataba"

Viongozi wa Simba sc suala la Sawadogo ni pasua kichwa kila wanapokumbuka mashart ya mkataba.

Maoni yangu: hakuna mchambuzi anayeliongelea hili kwa kua ni Simba sc wachambuzi wote wa mchongo wanapita Kama hawalioni.

Haya endeleeni kushupaza shingo kuhusu uvumi wa Yanga sc kufungiwa kusajili huku Sawadogo kawakaba Koo.

Nawasilisha hoja
IMG-20230701-WA0013.jpg
IMG-20230701-WA0013.jpg
 
mkataba wa bandari DPW na huu wasimba na sawadogo

Tofauti yake nikwamba ,uwanja wa mahakama TU kwenye maamuzi
 
Na kwataarifa tu mtoa mada Leo sio tumevunja tu mkataba na Sawadogo bali tumemalizana nae kwa kila kitu ikiwemo kumlipa stahiki zake zote kama mkataba wake unavyotaka
Simba sio timu yakuhangaishwa na kesi Fifa kisa madeni kwa waliowahi kuwa waajiri wake kama klabu moja hapa nchini inayoshindwa kumaliza deni la 340mil kwa aliyekuwa kocha wao kiasi cha kumfanya mwalimu ajute kufanya nao kazi kwa usumbufu anaoupata
 
Endapo Simba sc watavunja mkataba wa Sawadogo itabidi wamlipe kitita Cha shilingi milioni Mia Saba na chenchi (700) mil lakini Simba sc wakimuuza kwenda kwenye timu nyingine itabidi wamlipe kitita Cha bilioni moja na ushehe 1.4bilioni

"Niliitwa na viongozi kwa ajili ya kumalizana nao ili niweze kuvunjiwa mkataba nilikubali lakini niliwaambia wafuate masharti ya mkataba"

Viongozi wa Simba sc suala la Sawadogo ni pasua kichwa kila wanapokumbuka mashart ya mkataba.

Maoni yangu: hakuna mchambuzi anayeliongelea hili kwa kua ni Simba sc wachambuzi wote wa mchongo wanapita Kama hawalioni.

Haya endeleeni kushupaza shingo kuhusu uvumi wa Yanga sc kufungiwa kusajili huku Sawadogo kawakaba Koo.

Nawasilisha hoja
Mmeshamlipa yule kocha?
 
Kwa hiyo wamempa m.700 siyo? Wabongo huokoteza vitu na kuandika tu
 
AIBU YAKO UPUNGUZE ULOPOLOPO DOMO LIMEKUPONZA MCHENZI WEWE.......

MJINGA MMOJA HIVI
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji23][emoji23][emoji23]
Mazuzu bana
 
Back
Top Bottom