Simba SC yaachana na Kocha Mkuu Didier Gomes da Rosa, Thierry Hitimana kuwa kocha kipindi cha mpito

Simba SC yaachana na Kocha Mkuu Didier Gomes da Rosa, Thierry Hitimana kuwa kocha kipindi cha mpito

Biashara za wahindi ni uchizi uliokithiri, Kanjibai kauza bunduki kanunua rungu afu anataka matokeo yale yale. Kama kuna watu walipaswa kuanza kuwajibika hapo Simba, alipaswa anze Mwamedi, na kademu kake kafuate.
Kauza bunduki alafu kanunua rungu lakini aondoke wakati ndio Mwekezaji!!..Hebu soma ulicho andika
 
Huyu walompa ukocho mkuu binafsi nina mashaka nae ingawa anaweza kuwa na vyeti vya elimu ya kutosha juu ya taaluma yake. Lkn kuwa na cheti na nin unachokifanya kulingana na taaluma yako ni vitu viwili tofauti.

Simuoni kama ni kocha anaweza kuivusha simba na sioni kama ana mbinu zaid za kuisaisia timuz lkn pia sioni kama ni aina ya makocha ambao ana hamasa kwa wachezaji ili kuwahimiza zaidi hasa timu inapokuwa inacheza na ikawa inahitaji matokeo kwa udi na uvumba.

Na hili tuliliona sote wakati wa mechi na wa-Botswana, jamaa alikuwa kasimana tu ni kimya hakuna chochote anachowahimiza wachezaj kufanya hii ilikuwa tofauti na alivyokuwa akifanya kocha wa Wa-Botswana.

Kwa huyu kocha binafsi bado naona pengo.
 
Biashara za wahindi ni uchizi uliokithiri, Kanjibai kauza bunduki kanunua rungu afu anataka matokeo yale yale. Kama kuna watu walipaswa kuanza kuwajibika hapo Simba, alipaswa anze Mwamedi, na kademu kake kafuate.
Kocha alizingua tukubali, Mwamedi hana tatizo
 
Kocha analipwa mshahara was dollar 15000 wakati Hana vyeti

Halafu pesa ya kumlipa inatoka kwenye mashindano ambayo Kwanza Hana vyeti vya kuyashiriki pili katolewa kipumbavu.

Mo hapa yupo sahihi 100%

Ila tatizo la Simba Ni kubwa wachezaji wamezeeka Sana Sana timu inahitaji kufumuliwa.
 
Kwa kauli aliyoitoa ni Mo Dewji baada ya simba kufungwa nilijua tu Gomes hawezi kupona

Nakumbuka kabla hajawa muwekezaji simba alitoa kauli kama hiyo Omog ambaye kwa sasa ni kocha wa Mtibwa Sugar nae akafungasha

Bado Ole Guna Sosha sasa ili niwe na amani ya moyo.

View attachment 1987249
Nilitegemea Hitimana awe wa 2 kinyume chake kaomdolewa asiyehusika, kocha wa viungo???!!!
 
Nimeona niweke sawa hili, Makocha watatu wa Simba waliandika barua ya kuacha kazi tokea jana, baada ya kutoridhishwa na kauli za viongozi wa juu ( Mo na Magori) za watu kuhujumu timu wakati kwenye football, kufungwa, kufunga na ku draw ni normal.

Baada ya kikao cha kujadili zile barua za resignation, bodi ya Simba sport club iliridhia kujiuzuru kwao.

Kwahiyo naweka sawa kuwa, Gomez na wenzake hawajafukuzwa, bali waliomba kuacha kazi.
Screenshot_2021-10-26-13-39-22.jpg
 
Back
Top Bottom