Simba SC yaachana na Kocha Mkuu Didier Gomes da Rosa, Thierry Hitimana kuwa kocha kipindi cha mpito

Simba SC yaachana na Kocha Mkuu Didier Gomes da Rosa, Thierry Hitimana kuwa kocha kipindi cha mpito

Nimemsikia Ibrahim masud maestro akidai "huyo kocha wa viungo na magolikipa pia walikosa vigezo (sifa/ elimu) na mechi yao ya mwisho kuruhusiwa kuwepo kwenye benchi ni ile ya Dodoma jiji" .
Kama ni mechi ya mwisho kuwepo ni dhidi ya Dodoma jiji maanake kwa sheria za ndani (TFF) ndio waliona hawana sifa
 
" You can't know everything though you know something about everything"
Usinge sema Bakhressa Hana Kadi au sio mwanachama wa Simba!!..Usinge sema Mo hajaweka 20B kwasababu vyombo vya serikali vyote vinaonyesha ndio Mwekezaji wa Simba!!..Na ungejua sheria zetu za ligi kuu hata za Baraza la Michezo!!.. Lakini wewe unajua kila kitu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Timu haiwezi kuvuna pesa kama ingeingia makundi na MUDI kapiga hesabu za kocha mkuu Gomez, kocha wa makipa na kocha wa viungo mishahara yao mikubwa na hawezi kuendesha kwa hasara kiasi hicho. Hivyo kaamua kupitia mlango wa nyuma kumtimua Gomez ambae hata kwenye benchi la ufundi kwenye club bingwa hayupo?? Sasa je Gomez kafukuzwa kwa kosa la mechi ipi?? Why asingefukuzwa kocha ambae alisimama kwa sifa za CAF??

MUDI kwaani ukisema ukweli kwamba unapunguza gharama za kuendesha timu kuna nani angekuhoji , umeuza Konde boy na Chama ukaleta Banda na kanoute kwenye michezo ya wanaume ulidhani utavuna nn?? Muogopeni Mungu wenu. Hata Uchebe ulimtoa kihivyo
 
Nimeona niweke sawa hili, Makocha watatu wa Simba waliandika barua ya kuacha kazi tokea jana, baada ya kutoridhishwa na kauli za viongozi wa juu ( Mo na Magori) za watu kuhujumu timu wakati kwenye football, kufungwa, kufunga na ku draw ni normal.

Baada ya kikao cha kujadili zile barua za resignation, bodi ya Simba sport club iliridhia kujiuzuru kwao.

Kwahiyo naweka sawa kuwa, Gomez na wenzake hawajafukuzwa, bali waliomba kuacha kazi.View attachment 1987328
Ukimfukuza kocha wewe inabidi ulipie mkataba wote, ndio maana mnafanya makubaliano anaandika barua ya kuacha kazi na mnamlipa mlichokubaliana, hiyo ndio system ya wahindi hadi kwenye viwanda vyao.
 
Usinge sema Bakhressa Hana Kadi au sio mwanachama wa Simba!!..Usinge sema Mo hajaweka 20B kwasababu vyombo vya serikali vyote vinaonyesha ndio Mwekezaji wa Simba!!..Na ungejua sheria zetu za ligi kuu hata za Baraza la Michezo!!.. Lakini wewe unajua kila kitu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna chombo chochote cha Serikali kiliwahi kusema Mo kaweka bil 20 Simba, labda Serikali ya huko uliko. Kilichokuwepo ni tume ya ushindani kupitia utaratibu wa uwekezaji wa club ya Simba ili kujiridhisha kuwa taratibu za ushindani zimefuatwa ili baada ya hapo mchakato uendelee.
 
Nenda Brella,Tff,bodi ya ligi, Baraza la Michezo alafu uwe Una sikiliza au kuangalia habari!!..You know everything [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Tajiri mshamba

Kufanya kazi na muhindi ni ngumu sana

Haya sasa the curve starts to bend down

Simba kwisha habari yao hapo mtarecover misimu 3 ijayo.

Yanga lazima achukue ubingwa huu msimu trust me

Revisit this comment mwakani
Hakuna haja ya kurevisit mwakani, hilo liko wazi hata mbaki na hao makocha,

Yanga hii imekamilika, hata kutolewa Champions league kwa mtu asiye na unazi sababu za msingi na za kiufundi ziko wazi, tukija kwenye swala la timu Yanga imedhamiria na imesajiri timu ya Ushindani na inakwenda kubeba ubingwa.

Kilichomkera Mo wengi hamkijui, yeye tayari alishapiga hesabu Simba imeshaingia makundi na pesa za CAF ndio zingeendesha timu. Matokeo yake timu inatolewa kizembe lazima akasirike.
 
Nimeona niweke sawa hili, Makocha watatu wa Simba waliandika barua ya kuacha kazi tokea jana, baada ya kutoridhishwa na kauli za viongozi wa juu ( Mo na Magori) za watu kuhujumu timu wakati kwenye football, kufungwa, kufunga na ku draw ni normal.

Baada ya kikao cha kujadili zile barua za resignation, bodi ya Simba sport club iliridhia kujiuzuru kwao.

Kwahiyo naweka sawa kuwa, Gomez na wenzake hawajafukuzwa, bali waliomba kuacha kazi.View attachment 1987328
Mkuu hadi sasa hujui figisu za kibongo?? Hiyo barua naamini ingeonyeshwa kabisa ila katika kuficha mapungufu yao wameamua kusema kaandika kuondoka. Kauli ya Mudi ilitosha kuanzia timu ilipotolewa Klabu bingwq
 
Usinge sema Bakhressa Hana Kadi au sio mwanachama wa Simba!!..Usinge sema Mo hajaweka 20B kwasababu vyombo vya serikali vyote vinaonyesha ndio Mwekezaji wa Simba!!..Na ungejua sheria zetu za ligi kuu hata za Baraza la Michezo!!.. Lakini wewe unajua kila kitu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bakhressa ni mwanachama wa maisha wa Simba.
 
Back
Top Bottom