Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Nendeni Usiku Huu HuuKama yanga hatumo hatukubali tunaenda CAS
Weka official site ya hiyo GDC ili watu wajiridhishe na hii habari yakoSimba SC, wameweka rekodi kwa kuwa klabu pekee kutoka Afrika Mashariki kuwemo kwenye orodha ya vilabu vya kihistoria ya Global Database Club (GDC).
View attachment 3281219
Simba SC sasa inajiunga na vigogo wa soka barani Afrika kama Al Ahly (Misri), Wydad AC (Morocco), Raja CA (Morocco), TP Mazembe (DR Congo), Zamalek (Misri) na Esperance Sportive de Tunis (Tunisia) kwenye orodha hiyo ya heshima.
View attachment 3281210
Hatua hii inathibitisha ukuaji wa Simba SC na athari yake katika soka la kimataifa.
tena wakiwa wamevimbiwa mihogo wanakuwa na kelele kweli kweli..Alooo jamaa,wataandaa matamko nchi nzima ya kupinga hili
Mtashitakiwa MIGA OOOHOOOOO🙄🙄🙄Kama yanga hatumo hatukubali tunaenda CAS
Timu ina viongozi wa hovyo hadi mashabikitena wakiwa wamevimbiwa mihogo wanakuwa na kelele kweli kweli..
Sasa ukiwakimbia Misukule kuna shida gani?Walioandaa hiyo list wanajua kama mmekimbia mechi juzi juzi tu hapa?
Timu yangu mbona sioni coastal union inadhaminiwa na jiesiemu!Simba SC, wameweka rekodi kwa kuwa klabu pekee kutoka Afrika Mashariki kuwemo kwenye orodha ya vilabu vya kihistoria ya Global Database Club (GDC).
View attachment 3281219
Simba SC sasa inajiunga na vigogo wa soka barani Afrika kama Al Ahly (Misri), Wydad AC (Morocco), Raja CA (Morocco), TP Mazembe (DR Congo), Zamalek (Misri) na Esperance Sportive de Tunis (Tunisia) kwenye orodha hiyo ya heshima.
View attachment 3281236
Hatua hii inathibitisha ukuaji wa Simba SC na athari yake katika soka la kimataifa.