Simba sc yaanza kuchezesha kamali Kama mchongo pesa, tatu mzuka, Biko nk

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Ukiondoa maneno aliyoyazungumza mwenyekiti Mangungu Kama msemaji wa timu maana ameshindwa kabisa kujitofautisha yeye na hao waropokaji wa timu za kariakoo (Ahmedy na Ally kamwe).

Nimesikiliza Mangungu nikagundua kabisa Raisi wa Yanga sc Eng Hers kamuacha mbali sana Tena sana maaana Mangungu ana uswahili mwingi na Hana speech nzuri Kama mwenyekiti wa timu kubwa.

Nilipokuwa naendelea kushangaa ya Mangungu nilishangaa kipengele Cha "SHABIKI BINGWA" hiki hakina tofauti kabisa na kamali za mchongo pesa na Biko
Kinahamsisha mashabiki watumbukize buku na kuweka kumbukumbu namba Kisha mmoja wenu ashinde.

Kwa kipengele hiki Cha kamali huwezi kusema unawajali mashabiki hapana Ila unawanyonya mashabiki na kiasi kinachopatikana kwenye kamali ndiyo hicho anapewa shabiki mmoja.

Nawasilisha hoja.

 
Hiii wanacheza mpka lini tujarb nasibu zetu.
 
Reactions: BRN
Ahsante kwa kusaidia Promo
 
We ni mwanaume.

Punguza kujidhalilisha!!!!

Mbona unafuatilia sana Habari za simba.

Itakuwa Bwana Simba Mnyama ana pipe kubwa Sana inakupenya vizuri.

PUNGUZA UTOTO.
Nimemuambia mara nyingi sana..kuna mambo mengi sana ya Utopolo ambayo anapaswa kuyajadili lakini yeye hawezi kulala bila kuikadili Simba..hafahamu kwa kufanya hivyo an ibrand na kuipromot
 
Sioni kama hili ni tatizo, zaidi ni ubunifu unaowafanya mashabiki kuwajibika kwenye projects za Club yao na hivyo kuzidi kuwaunganisha mashabiki na Club.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…