NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Ukiondoa maneno aliyoyazungumza mwenyekiti Mangungu Kama msemaji wa timu maana ameshindwa kabisa kujitofautisha yeye na hao waropokaji wa timu za kariakoo (Ahmedy na Ally kamwe).
Nimesikiliza Mangungu nikagundua kabisa Raisi wa Yanga sc Eng Hers kamuacha mbali sana Tena sana maaana Mangungu ana uswahili mwingi na Hana speech nzuri Kama mwenyekiti wa timu kubwa.
Nilipokuwa naendelea kushangaa ya Mangungu nilishangaa kipengele Cha "SHABIKI BINGWA" hiki hakina tofauti kabisa na kamali za mchongo pesa na Biko
Kinahamsisha mashabiki watumbukize buku na kuweka kumbukumbu namba Kisha mmoja wenu ashinde.
Kwa kipengele hiki Cha kamali huwezi kusema unawajali mashabiki hapana Ila unawanyonya mashabiki na kiasi kinachopatikana kwenye kamali ndiyo hicho anapewa shabiki mmoja.
Nawasilisha hoja.