OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Aende Azam, Yanga hana nafasi tena. Mkude, Okwi, Niyonzima mwisho wao Chalinze huku mjini ni Tshishimbi tu.Huyu mkude alimfanyia nini Omog hakika kwa uwezo wake sio wa kusugua bench kuanzia pre season mpaka saizi ,Mkude akitaka aitwe timu ya taifa tena namshauri dirisha dogo atimkie Azam au yanga
Masau namsubiria saa moja akitoa majigambo zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Chini unamchesha tshishimbi&Mkude kisha kamusoko juuAende Azam, Yanga hana nafasi tena. Mkude, Okwi, Niyonzima mwisho wao Chalinze huku mjini ni Tshishimbi tu.
Naitakia kila la heri Ruvu Shooting Stars.
Exactly, mechi saa ngapi?View attachment 575354
Kosi la Simba, Watu wa Kazi-Mpira Chini
Baada ya mji kutulia na kujaa nidhamu kutokana na kumnyamazisha Yanga SC jumatano, leo ni zamu ya Masao Bwire kulambishwa dawa. Ni Simba SC na Ruvu Shooting, mishale ya saa 10
Nitakuletea kila kitu hapa JF. Usiondoke
Mkude anaugomvi na uongozi baada ya kuvujisha habari za simba kupigwa 7-0 huko south africa, ndiyo maana amepokonywa up captain wa timuHuyu mkude alimfanyia nini Omog hakika kwa uwezo wake sio wa kusugua bench kuanzia pre season mpaka saizi ,Mkude akitaka aitwe timu ya taifa tena namshauri dirisha dogo atimkie Azam au yanga
Masau namsubiria saa moja akitoa majigambo zake
Sent using Jamii Forums mobile app