OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kosi la Simba, Watu wa Kazi-Mpira Chini
Baada ya mji kutulia na kujaa nidhamu kutokana na kumnyamazisha Yanga SC jumatano, leo ni zamu ya Masao Bwire kulambishwa dawa. Ni Simba SC na Ruvu Shooting, mishale ya saa 10
Nitakuletea kila kitu hapa JF. Usiondoke
Updates
HT: Simba 5 Ruvu 0
Emanuel "Hatrik" Okwi 3, Kichuya 1, Luzio 1
Updates
Simba 6 Ruvu 0.......Okwi apiga nne
Updates
Niyonzima anatoka anaingia Mo
Mzamiru anatoka anaingia Said Ndemla
Mwanjali anatoka anaingia Juuko,
More Updates
Simba Wiki(Shule ya Msingi)- Ruvu 0, Nyoni 82'
Mpira umekwishaaaaaaaaaa
Simba wanampiga mtu wiki,Okwi akipiga goli nne,amekabidhiwa mpira wake
Video
Magoli yote 7 ya Simba